Kalolo Junior
Member
- Oct 20, 2011
- 81
- 27
Jamaa kachukua changudoa kaingia nae gest. Katikati ya shughuli changu kapiga ukelele na kuzimia. Wakati jamaa kapanik hajui afanyeje simu ya changu ikalia, jamaa akapokea..
SAUTI: Haloo sikiliza huyo demu uliyemkaba mpaka akazimia ni mtoto wa Mzee mmoja mjeshi, akifa utaipata.
JAMAA: Lakini mie sijamfanya kitu, ilikuwa ni mambo yetu tu!
SAUTI: Sawa hiyo stori utawambia polisi ngoja niwataarifu!
JAMAA:Ngoja kwanza rafiki nisaidie hii ishu!
SAUTI:Ntumie laki tano, tena naweza kukusubiri hata uende ATM,unajua mie ni mfanya biashara sina haraka.
JAMAA: Sikiliza hata mie ni mfanya biashara, nawajua jamaa wachuna ngozi, nikiwauzia mwili fresh kama huu watanilipa milioni mbili we utachukua milioni yako safi..........g hafla changudoa akazinduka.
CHANGU: Mshenzi mkubwa nani achunwe ngozi!