Utamwambia au utaona soo upotezee?????

Utamwambia au utaona soo upotezee?????

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,517
Reaction score
185,623
Hellooow dears! [emoji113]

Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako

Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au alikua akifanyiwa vinamkuna sana kiasi cha mtu kukubali kuwa babaa/ mamaa hii babkubwa yani mulemuleeee noma sana hii. I like that.

Ikawa si riziki ukapata mwingine Nae ana maujuzi yake kwa dizaini yake anakufanyia makeke anayojua yeye.

Je linapokuja suala letu lilee nahuyo mnew wako unaweza mwambia ukinifanyie hivi / vile huwa nasikia raha sana. Au ndo mpo hapo mnafanya yenu unaweza mwambia fanya hivi fanya vile ukimaanisha kukufanyia baadhi ya mikogo uliokuwa unafanyiwa ambayo ilikumarliza kama sehemu ya kuongeza manjonjo na furaha katika pendo lenu jipya ???

Nawewe kama ndo huyo mchuchu mnew unayeelezwa hayo sasa how will you feel ??

Wewe kama wewe unapenda kipi akwambie nifanyie hivi/ vile au achune tu uparangane nae unavyojua Wewe??!

Jamani Maswali ya uchokozi sitaki. Tufocus kwenye mada.

Mahondaw wa Smart911
 
chukua mkono wake ama dushelele elekeza unapo taka kunwa

Kama ni chumvini muanze wewe kwa then muombe naye ama muelekeze kibra kiujanja akusurubu

mambo ya kusema flani alikuwa anafanya iv n ivi kutushusha manyota sekta ya mtanange
 
Kuna zile couple zinaoneana aibu.Hizi mara nyingi utakuta uchumba wao ulikuwa wa muda mfupi au 'hawakujuana' vizuri wakati wa uchumba wao.

Na kuna zile couple ambazo hazioneani aibu.Hizo zilikuwa na uchumba wa muda mrefu na ulioambatana na 'kujuana' kwingi kiasi kwamba hakuna tena aibu.

Ukweli unabaki palepale kuwa mwenza wako hupaswi kumuonea aibu.Funguka akujue ili akupe RAHA DUNIANI.
 
mahondaw wangu...
Kila mtu anavile vitu hupendelea na kutopendelea... Ana vitu anajua na ambavyo hajui... Ana vitu angependelewa kufanyiwa au kufanya ila hajui mwenza wake atachukuliaje...

Tatizo linakuja, je unachojua na kukipenda wewe mwenzio atafurahishwa nacho pia...

Kulijua hilo, kuna njia sahihi za kuelezana wenza... Yale kila mmoja angependa kufanyiwa na mwenzake yanayomfurahisha...

Njia za mazungumzo ya kiutani utani bila kumfanya mwenzio kujihisi vibaya... Mkishafikishana ujumbe kwa njia hiyo, kwenye kutenda sasa kila mtu atakuwa na kumbukumbu ya nini amfanyie mwenzake....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom