busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Wasalaam wana JF,
Habari imetolewa katika gazeti (JAMBO LEO) tarehe ya leo 7/Jan kuwa hawa mabinti wa kazi majumbani (house girls) wamekuwa mwiba katika ndoa nyingi hasa Dar.
Sijui mtafiti huyu alichukua "sampling" ya ndoa ngapi na ana "evidence" kiasi gani hadi kutoka na conclusion hiyo.
Je taarifa hiyo ina ukweli kiasi gani? Wenye details either in Dar ama mikoa mingine fungukeni information yako yaweza kumsaidia mwingine katika ndoa na anaetarajia kuwa "alerted"