Analazimisha kutoa mimba ya pili

Huyo mwanamke ni muuaji. Wakati anayakata na kuyasakata mauno na magoli kibao hakujua kuna mimba. Mbelen atakuja zikumbuka hizo mimba anazozitoa ovyo.
 
Kaa muonge koz kila jambo linafanyika kwa sababu so lazima ana majibu kwanini anatoa may be anaona hauja jipanga kulea may be anaona mda bado so good mkae muyaonge uta pata jibu
 
Wakuu habarini,

Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.

Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
Sababu pekee ambayo mwanafunzi mwenzako atakubali kuzaa na wewe ni ikiwa mliongea na mkapanga kua mnatafuta mtoto, unaonesha kua una uwezo wa kuilea mimba, utamuonesha kua yupo kwenye mipango yako ya mbele.
Familia yake iwe haina shida na yeye kuipata mimba, na wewe usiwe kicheche.

Kama utaweza kumhakikishia hivyo vitu hiyo mimba haitolewi. Kama hauwezi kumhakikishia nina uhakika wewe mwenyewe unatetemeka sasa hivi, hii post ni kama kutaka kujiaminisha kua haumuungi mkono ila akili yako inakubali kua hiyo ndiyo option pekee.

Pia jua kua baada ya abortion ya kwanza uwezekano wa mimba zingine kuingia ni mkubwa sana, amua ama utumie kondomu au ukae zaidi ya miezi sita mkioneshana mapenzi tu (mapenzi siyo ngono pekee).

Nendeni hospitali yoyote inayoshughulika na maswala ya uzazi wa mpango mkaelezee swala lenu.
 
Hivi umewahi kusikia kitu kinaitwa ndom!? Wote bado mko chuoni kwanini unataka kumuharibia mwenzio masomo yake!?

Wakuu habarini,

Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.

Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
 
Wakuu habarini,

Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.

Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
Ni Vanessa au yupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom