Habarini wadau.
Nilikuja hapa miezi miwili iliyopita nikieleza namna jinsi wanawake walivyo viumbe katili. Lakini kwa vile leo niko via mobile nimeshindwa kufanya attachment ya thread ile...
Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms...
Habari zenu wakuu..mim ni kijana wa miaka 22..Sikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu, takribani miezi 3 ilyopita..basi baada ya upweke wote huo, mnamo mwaka huu mwezi wa pili niliamua kutafuta...
Ukimpenda sio lazima nae anakupeda?
Ukiwa muaminifu huenda nae sio muaminifu?
Ukimjali huenda yeye hakujali?
Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni...
Hivi wewe baba au mama uliye kwenye ndoa na bado unaendekeza michepuko huwa unajisikiaje ukisikia au kuliona lile tangazo la PSI?
Kama nafsi yako inakusuta basi chukua hatua ila Kama huskii...
Kwa utafiti niliyoufanya kwa kipindi kisichopungua miaka minne, nimegundua
kwamba mwanachuo mmoja kuanzia anaanza mwaka wa kwanza mpaka
anamaliza mwaka wa tatu huwa anatembea na wanawake/wanaume...
Madomozege wapo wengi kila sehemu, kama hapa MMU ndio usiseme! Yaani, wanaume tumebaki wachache tunaoweza kuwakabili akina dada uso kwa uso na kuwapiga sound (kuwatongoza).
Soma 2 Samweli 13: 1 -...
Kuna demu mmoja kamsindikiza mume wake kwenda saluni kunyoa nywele. Katika hiyo saluni ya 'classic', njemba alihudumiwa na binti anayefanya kazi kwenye saluni hiyo, huku demu wake akiwa ameketi...
Am 30 old. I loved to persue my dreams in formal education untill recently nilipokosa cash to pay for studies. Nipo kitaa nasaka noti japo sometimes nasota bure, lakini ninamalengo thabiti. Now am...
Mambo vp
kuna binti mmoja nimejuana nae tu chuoni kivilee lakini cha kushangaza naona ananipima imani sijui anamanisha nn kila wakati tukiwa nae ananiambia anampenda sana mtu flani hadi anashindwa...
True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuaga mkewe anaenda China. Mkewe akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment...
Ni miezi takribani 2 sasa sijaskia sauti ya mpenzi wangu huyu, mara ya mwisho nawasiliana nae nilihoji mwenendo wake lakini alinipa ahadi nyingi sana kiasi kwamba nikahis kichwa kipo hiv :A S...
Siku ya leo nmealikwa kwenda kutatua ugomvi wa watu wapendanao sasa kwa kweli naona kama vile shida tu jamaa rafiki yangu anamwanamke ambaye ndio mke mtarajiwa amejifungua mtoto wa kike cha...
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu...
(sharing is always beautiful)
nimemnukuu mhudumu wa gesti moja Dodoma (gazeti la mwananchi).
"Short time inalipa kwa sababu haichukui hata dakika kumi wanatoka".
Nimewaza sana kuhusu ufanisi...
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume...
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo...
Wana - JF nawasalimu sana!
Mwenzenu nina mtihani! Hapa ofini kwangu ni na bidada mmoja (ni mrembo wa haja tu, anatoka ule mkoa karibu na Dodoma na wadada wa mkoa huo wana ile sifa kama ya ule...