Je wewe ni mdada mkristo, uliye tayari kupima UKIMWI, hata kama una mtoto asizid mmoja, umbo MNENE KIASI na unaishi Dar es Salaam. Kama ndivyo basi ni-PM nikuunganishe na kaka wa miaka 35...
Habari wana JF,
Kuna story ya jamaa mmoja, ambae alikuwa na mchumba wake, siku chache kabla ya harusi yule mwanamke akaenda kwa jamaa wakavunja amri ya sita. Baada ya hapo yule mwanamke...
Mwanamke akiwa anakaribia kucum,kwa ile raha atayokuwa anasikia,automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake itaanza kukaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri...
Heshima kwenu brothers and sisters,, Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana... Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship...
mm ni mvulana wa miaka 24,naitaji girfriend ambaye cku za uson awe wife.Maelezo zaid 2kutane on 0767_877 421 au 0659_443 320.
Kaz kwenu wadada cfa-: _maj ya kunde au wait co mbaya...
Habari zenu wadau, natumaini mko salama kabisa. Leo nimekuja na hili nijaribu kuwashirikisha.
Kuna mdada mmoja ni mwanafunzi wa chuo nilibahatika kukutana naye akiwa likizo mie naenda ofisini...
Hili Suala Linanichanganya Sana....Samahani Jamani... Hivi Wenzangu Mnakutana na Hili Linalonisibu?
Maana Sielewi ,Kwa Nini Kila Mahusiano Niwe Wa Pili Mimi Tu..Na Kwa Nini Wa Kwanza Wawe Wao...
Wakuu kuna rafiki yangu mmoja ambaye ni mwajiriwa wa serikali kwenye kitengo
cha usalama ni rafiki yangu sana.
Alikuwa na girl friend wake na kiukweli walipendana sana.
Ila mbaya kabisa mama wa...
Nimesoma sana maandiko matakatifu ya Biblia na sijaona mahali ambapo watu wamekwenda either kwenye sinagogi au hekaluni kufunga ndoa,sijui kuhusiana na Quran,ila kwa Biblia ndio hivyo
Nimekuwa...
Habari wanajf,nimeoa yapata miezi 4 sasa na wife ni mjamzito wa miezi mitatu,sasa hali yake hii imemfanya awe anatapika sana na anatema mate sana,sasa siku za karibuni na mie nimejikuta kila...
Shaloom Wakuu!
Hii ni kwa ajiliya wale inayowahusu tuu! Kama haikuhusu thn soma kimyakimya halafu tembea.
Juzi Ilikua mara nyingine tena mimi kukutana na mdada mmoja wa JF. Mimi ndo...
Je ni kosa la jinai kutokuwa mwaminifu kwa mke wako/mume wako?
Je ni dhambi kutokuwa mwaminifu kwa mchumba wako, mpenzi wako?
Kumsaliti mume wako/mke wako/mchumba wako & mpenzi wako siyo vizuri...
Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza...
Huwa inatokea sijiamini nikikutana na Mh yoyot na nakosa kujiamini, pana muda huwa najiamini nakuwa na konfo lkn siku nyingine noo nikiwa kwenye vikao vikubwa kama mkuu wa kitengo
nakosa...
^^
Tangu zama za kale, mwanaume amekuwa kiongozi wa mahusiano yawe ya kirafiki, kimapenzi au katika ndoa. Kuna jamii mpaka leo ambazo mwanaume anapoonekana kuyumbishwa katika mahusiano humkalia...
Habari wana wakubwa
Kwa kweni nakuja mbele yenu kutaka msaada niko na mke wangu mwaka wa 8 sasa na tumebahatika kupata watoto 2 wa kike na wa kiume.
Kwa hakika nampenda sana mke wangu kwani...
Habari zenu wote kwa mpigo,
Hope mu wazima, hamjambo, mmeamka salama na mnaendelea na shuhuli za kutafuta shekeli kama si kulijenga taifa na kuleta maendeleo kwako binafsi au kwa familia.
Nina...
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na...