Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Nimesoma sana maandiko matakatifu ya Biblia na sijaona mahali ambapo watu wamekwenda either kwenye sinagogi au hekaluni kufunga ndoa,sijui kuhusiana na Quran,ila kwa Biblia ndio hivyo
Nimekuwa najiuliza huu utaratibu wa kwenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa ni wa wapi?
Tunajua kuwa mambo haya yanatakiwa yafanywe kwa mujibu wa maandiko matakatifu,sasa hili limetoka wapi?
Kama kuna anaejua naomba anijuze ni wapi kuna watu walikwemda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa au ni wapi imeelezwa kuwa watu wakitaka kuoa waende kwenye nyumba za ibada?
Kwenye maandiko nilichokiona ni pale ambapo mtu alipotoa mahari basi aliyemtolea mahari alihesabika kuwa ni mke tayari,hii ya kwetu ya kwenda kwenye nyumba za ibada imetokea wapi?