Namna ya kum-handle manzi anayekaribia kufika kibo na mawenzi ...

Namna ya kum-handle manzi anayekaribia kufika kibo na mawenzi ...

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Mwanamke akiwa anakaribia kucum,kwa ile raha atayokuwa anasikia,automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake itaanza kukaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa inaongezeka.

Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha,mashine ya mwanaume ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde kadhaa,kisha inaachia ( kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia mashine yako kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni.

2: UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIRT..

Kwa kutumia maana ambayo haiko complicated sana,kusquirt ni kitendo cha mwanamke kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na utamu..G-spot ikipata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquirt na ndio maana hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya tendo la kupeana raha na utamu,Wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume akiweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.

G-spot ikipata msisimko wa kutosha inatoa taarifa kwa Female Prostate,Female Prostate hutengeneza hayo majimaji,yakiwa tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo.

Asilimia kubwa ya wanawake,wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa,huomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kusquirt,hivyo muda mwingine kabla ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe empty ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa,ujue unakaribia kusquirt,kwa hiyo jiachie ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni kwa njia ya kusquirt.

**Sio wanawake wote wanaweza kusquirt,kama ikitukea hujaweza usijisikie vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao unazidi kulowa badala ya kusquirt.

3: KELELE NA MIGUNO YA KIMAHABA LAZIMA ITAZIDI..

Kama mwanamke wako ni full makelele mwanzo mpaka mwisho basi itakuwa sio rahisi kujua kama makelele ama miguno anayotoa sasa yanaashiria amefika kileleni au ni sehemu tu ya kupeana raha na utamu,Lakini wanawake wengi wanadanganya kwa kutumia kipengele hiki,lakini utajua kuwa anadanganya pale makelele ama miguno yake yakiwa ktk MPANGILIO unaoeleweka kwa mfano ( ooh,yeah,ooh,yeah,ooh,yes )kama cd iliyorekodiwa.

Makelele ya kufika kileleni mara yanakuwa HAYAELEWEKI ,na wala hayana mpangilio,mara nyingi yanakuwa deep yakiambatana na BODY LANGUAGE inayoendana na makelele au miguno anayotoa,Tofauti na hapo ujue unadanganywa..

4: CHUCHU ZAKE ZINAZIDI KUWA NGUMU..

Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kupeana raha na utamu,Matiti yake huvimba kwa sababu ya ongezeko la speed ya mzunguko wa damu mwilini,Lakini chuchu zake zinakuwa zipo kawaida,Ingawa wapo baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba ( Ni wachache sana sio wote ).

Kwahiyo inabidi ujue mapema kabla hata ya tendo la kupeana raha na utamu halijafika katikati,pale mwanzoni tu unapokuwa unapasha nae joto,ziguse au ziminye chuchu zake taratibu kama ukizikuta ni LAINI,halafu baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu basi ujue kuna uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika lakini hakufanikiwa.Kama ukizikuta ngumu tokea mwanzoni basi haitowezekana tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni au bado.

5: LUGHA YA MWILI (BODY LANGUAGE)

Akiwa anakaribia kufika kileleni au akiwa ndio amefika kileleni utakutana na body language zifuatazo:-

*Atakuwa anahema haraka kwa sababu internal organs na muscles zake zinahitaji oxygen zaidi ili aweze kufika kileleni salama.

*Atazidisha kujikunja kunja au kujisogeza kwako ( akiwa ametulia tu ujue bado,ongeza bidii )

*Mikono yake itakunja kunja au kufinya shuka.

* Kama mpo kwenye staili ya kifo cha mende,utashangaa ghafla ataanza kukukumbatia na kukushikilia kwa nguvu,kama kucha zake ni ndefu atakuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza akashindwa kujizuia akakung'ata.
Kama tokea uzaliwe hujawahi kukutana na mambo haya wakati wa kupeana raha na utamu basi ujue kuna uwezekano mkubwa hujawahi kufika kileleni ( kama ni mwanamke ) au hujawahi kumfikisha mwanamke kileleni ( kama ni mwanaume )
Kama imekundisha jambo sio dhambi kuangushia LIKE hapo chini nikupakulie nyingine mura!!!
 
mkuu hebu nifafanulie kuhusu majimaji meupe kama povu yatokayo kwa mwanamke wakati wa tendo au wakati wa kumwandaa hasa wakat wa kumchapa katerero,demu wangu yuko hvyo so hua nashndwa kumwelewa je hayo majimaji meupe ni tofaut na yale yanayotoka wakat kafikia kilelen?je ndo yale wenzetu wahaya wanasema kumchapa maji mwanamke?
 
Huyo atakuwa anatokwa na utoko na ni hatari kwa afya....chukua hatua mapema.
 
Sasa kama hicho ki G spoti nimekibugia kama ubuyu ninakimumucha na mustachi umeloa utamu ntakionaje kama kinakaza na kuachia ?
 
100% true! thanks for this lesson and confirmation, sasa hatutaona ajabu tena
 
mkuu hujanielewa wakati tuna gegedana labda tuko mapumziko kabla ya raund ingne nachukua muda kumwandaa mara nyingi natumia mboo kumchapa katerero na hua anaifurahia sana sasa unakuta wakat namchapa katerero yanatoka hayo majimaji ni meupe kama povu hua yanatoka mpaka yanaziba papuchi yake na wala hayana harufu yoyote,na after mean while yanakauka,je huo ni utoko mkuu?
 
* ...Kama mpo kwenye staili ya kifo cha mende,utashangaa ghafla ataanza kukukumbatia na kukushikilia kwa nguvu,kama kucha zake ni ndefu atakuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza akashindwa kujizuia akakung'ata...
Mkuu hii imewahi nikuta wakati npo chuo mana nilipiga katerero sasa ile anacum nikastukia nishang'ang'aniwa shingo nakabwa huku meno yapo kifuani yakipenyeza kwenye nyama,ilibidi nichomoke fasta.Sitamsahau huyo manzi haki.
 
nimeelewa kwa kweli,.maelezo mazuri na yanafundisha asante mwalimu
 
Mkuu nadhani unachanganya kati ya G- spot na clitoris a.k.a kiharage. Huwezi kuilamba G-spot mkuu...labda kama una ulimi wa nyoka!

hahahaha....huyo atakuwa mzee wa chumvini tu
 
mkuu hebu nifafanulie kuhusu majimaji meupe kama povu yatokayo kwa mwanamke wakati wa tendo au wakati wa kumwandaa hasa wakat wa kumchapa katerero,demu wangu yuko hvyo so hua nashndwa kumwelewa je hayo majimaji meupe ni tofaut na yale yanayotoka wakat kafikia kilelen?je ndo yale wenzetu wahaya wanasema kumchapa maji mwanamke?
Sir J kuna sehemu mbali mbali za mwanamke kufikia mshindo, utakuta wengine kisimi(via katerero), wengine kuta za labia na major, wengine G-sport, wengine matiti, wengine karibia end of vagina etc...., sasa kwa huyu wako kama ulivyosema hapo chini hata ukirudia raundi ya pili ukichapa katerero maji povu nyeupe hutokea as first ina maana hapo ndo the right placefor her CLIMAX! Pia wengine hutokwa na maji/ maziwa meupe na wengine sticky watery like na wengine huchanganyikana both of the two. Na siri ya urembo kama hapo ndo the right place(Climax point) kwa mpenzi wako unaweza kuta anaweza ku-curm hata zaidi ya mara saba na kuendelea.

Pia wakati ana-curm panakuwepo na mbwembwe za kila aina kutegemea na mpenzi wako, wengine kelele, wengine watakukamata kwa nguvu sichomoe, wengine wanalia, wengine watakusifia sana, there are a lot. Hta unaweza achiwa jeraha kama yalivyonipata mimi in the past.....acha kaka ukishamjulia mpenzi wako atakutafuta kila wakati... na inasaidia yeye asitoke nje tena kwa kuwa unamtosheleza atakavyo.. etc.
 
mkuu hapo umenena vyema huyu wifi yako hua anachanganyikiwaga na maraha mpaka anajuta kwa nn hatukujuana mapema,na hua anadai tangu ajue kufanya mapenz hakuwah kufikishwa maeneo ambayo mimi nimemkuna,tukianzaga game hua hakuna anayechoka kwa mwenzi wake,hapo nimekusoma vyema.
 
Ni vizuri kulijulia gari lako katika hali zote
Keep it up and maintain as usual!!!!
Ni vizuri bakia Njia kuu na No Michepuko kwako any more......
Au vip kaka?
 
Ni vizuri kulijulia gari lako katika hali zote
Keep it up and maintain as usual!!!!
Ni vizuri bakia Njia kuu na No Michepuko kwako any more......
Au vip kaka?

nimekusoma mkuu,na ndo maana waume wengi wana chapiwa wake na mademu zao kwa kukosa kujua jografia ya mwili wa mpnz wake ukoje wap aguswe au akunwe apate raha tofaut na alivyozoea.
 
mi mgeni kidogo humu hamjambo lakini
 
Back
Top Bottom