Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana JF wote; Hivi karibuni nilikwenda Ku-spend likizo mkoani kwetu,nikiwa huko nilishangaa kumwona mtoto wa dada yangu kwa mama mdogo akiwa na kichanga anakinyonyesha kwa kweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:A S 100:Naitwa ........... ninamiaka 27, ni-naelimu ya stashada(Ordinary diploma) ktk field ya engineering. natafuta msichana/mwanamke sitamkagua vyeti kujua ana elimu kiasi gani bt uelewa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na matatizo ya kindoa tafadhali aje "PRIVATE" Anisaidie..Samahani sana hii ni critical issue na inahitaji watu wazima wenye nia safi ya kusaidia mtu wala sio kumdhiahaki!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hodi humu ndani wanajamvi natumai mko poa! Ebwana kuna binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka na miezi miwili hivi mpaka sasa. Katika ndani ya huu muda nimeachana nae kama mara 8 hivi na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Please someone tell me where true love disappeared to. I overheard some two guys today saying that if they were to date a lady or look for a woman to marry, she must be having good money or coming...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi ni mvulana wa 26yrs,urefu futi 5.5,ni Muslim, Elimu Bachelor,nimfanya kazi na naishi Dsm, Natafuta mke half caste mweny elimu ya kidato cha 4 au 6, Urefu atleast futi 5.4 - 5.6, awe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari ya mchana wana JF, Hivi ni nani huumia zaidi kati ya mtu mume na mtu Mke Mara mahusiano yao ya kimapenzi yanapovunjika?
0 Reactions
33 Replies
6K Views
habari zenu wana MMU Najuta kusema uongo na tamaa yangu ya mapenzi, mimi ni kijana wa kiume sijaoa nafanya kazi na kampuni fulani hapa rocky city. Mwezi januari nilihama sehemu niliyokuwa...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Hii imemtokea rafiki yangu kipenzi, Jana aliniomba nimsindikize Lenana Hotel jioni akisema kuwa kuna binti kampenda sana sasa anataka amweleze intention yake ya kumuoa, mimi nikamsindikiza, kufika...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu wengi husema kuwa mapenzi ni hisia. Sikatai wa sikubaliani na mawazo haya. La hasha, sijafanyia utafiti wa kutosha juu ya hili! Ila katika uchunguzi niliofanya kuhusu mahusiano ya mapenzi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1.Alikua chotara mreombo mwenye nywele kama jini shena la mzizi mkavu katika hadithi ya mimba ya jini 2. Alikua na wanaume watano waliompenda na akawapenda kwa dhati kabisa 3. wote wanaume...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta msichana wa kuwa mchumba wangu then tukifikia muafaka nitamuoa Umri 18-25 Mrefu Black beauty Elimu angalau form four Tabia nzuri Contacts me soon
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mzazi au mlezi ana nafasi yake kuongoza katika ufanyaji wa kila kitu ndani ya familia yake. Kuna mwongozo wa mavazi, kuna mwongozi wa kula, kuzungumza, hata saa za kurudi nyumbani. Katika...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
A). SIMU YA MKONI 1. Simu nyingi zinazo pigwa nizakuomba Msaada wa Kifedha. Mfano zaidi ya Simu kumi kwa siku. 2. Wanandoa na wenza wengi hupata wakati mgumu sana kufanya mawasiliano ya simu...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Nilipokua chuoni alikuwepo demu mmoja niliyemuacha mwaka mmoja nyuma,wakati nilipomjua alikua anagegedwa na Lecturer wazi kabisa kila mmoja akawa anajua, me ckujali nikajitosa kwa utelezi wa room...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wana jamii, # Naomba niwaelezee ya ukweli yaliyonitokea sku c nyingi kwa my ex. Nakumbuka nlimpenda sana ila naweza sema alikua chanzo cha kuvunja mahusiano yetu ingawa hadi leo...
9 Reactions
79 Replies
8K Views
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni au unaweza sema kuwa ni mpya katika jukwaa hili Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Jamani ni hv, nina mpenzi wangu ambae anaishi maeneo ambayo wa2 wanapachukulia kama pabaya means social cervices hazipatikan ss marafiki ninaoish nao kila lililobaya wanaelekezea huko mara oh mimi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitaji maombi yenu dhidi ya huyu shetani. Nimeokoka jana nikapokelewa kwa fujo na nderemo toka katika familia yangu pamoja na majirani. Saa saba usiku nimerudi tilalila vibaya sana. Kisa kilikuwa...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Naitwa Sam, age yangu ni 26, nahitaji marafiki aliye tayari ani-text kupitia 0784824269
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…