Ni miaka mingi imepita, nipo na kumbukizi nyingi, lakini hii naona inafaa kuingia top ten....nisiwachoshe sana twende kazi.
Nakumbuka ilikua jumamosi, mi sio mtu wa kutoka kabisa, week end ni...
Dear Jf members,
Hapa naongelea wanaume/wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja je tuwatenge au kuwapa ushirikiano.katika
maeneo ya kazi,biashara,jamii?
Kwanza niwapongeze kwa kufanya siri...
Jamani habari za uko? bila shaka ni njema.
Leo nataka niwashirikishe habari njema ambayo imekuwa ikizunguka kichwani mwangu kwa muda wa wiki kadhaa,
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 37...
ukifuatilia sana Wanawake wazuri warembo wenye figa pia sura nzuri ukiishi nae lazima atakuwa na mapungufu haya malaya, mjuaji, pia kwenye mapenz huwa ni wabovu sana aidha unakuta hayajui mapenz...
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza...
Juzi niliamua kumzingua mmoja kati ya wapenzi wangu kwa kutumia namba mpya ambayo haijui tukawa tunachat mwisho wa siku nikamuomba nimtoe for lunch.
Akasema nimtumie nauli nikamtumia na kweli...
Nipo nimekaa hapa nawaza
Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba...
Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya.
Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa...
Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa...
Hu ndio ulikuwa msemo wangu wakati nakua.
Nilikuwa mkimya sana. Sikupenda kutengeneza marafiki. Nilifikia hatua nachapa wanawake wanaojilengesha pekee. Nikaingia form six.
Sikuwahi kuchapa mtoto...
Mwanaume kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa hakikisha umeelewa hii falsa ya ISHINI NAO KWA AKILI.
Kama hujauelewa huu msemo au falsafa fanya mishe nyingine achana na mapenzi utalia kila...
Wakubwa wenzngu habarini.
Mwenzenu yamenishinda nina mwaka wa tatu tangu tuachane na mpenzi wangu. Najikuta sina hisia na mwanaume mwingine, hata nikiwa na mpenzi mpya lakini nitatumia picha ya x...
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.
Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo...
Nimebwaga manyanga rasmi kwa huyu mwanamke. Angeweza hata kuniua. Mie nilikuwa nahangaika naye kumbe kuna lijamaa lilikuwa linajilia tu na bado linajilia.
Wanawake ni makatili sana. Juhudi zote...
Mwanamke ni mtu ambaye hana restrictions kabisa linapokuja suala la uhuru wake na ni mtu ambaye hufanya mambo yake bila remorse. Ukitaka kujua hili angalia mwanamke ambavyo humuacha mtu wake...
Wanajamii Forums
Mimi Leo Nitakuwa Arusha Lakini Huru Kuanzia Saa 10 Jioni Pamoja Na Kesho Napenda Kukutana Na Wanachama Haswa Wa Jukwaa La Mapenzi Kama Inawezekana Leo Na Kesho Kama Unapenda...
Niko hapa steshen(si ya mwakyembe)nasubiri treni niende hm.mara nageuka kushoto naona kuna vijana wawili wamekumbatiana kweli kweli.sikushtuka sana nikidhani ni mtu na bibi yake hawajakutana muda...