Nimebwaga manyanga rasmi kwa huyu mwanamke. Angeweza hata kuniua. Mie nilikuwa nahangaika naye kumbe kuna lijamaa lilikuwa linajilia tu na bado linajilia.
Wanawake ni makatili sana. Juhudi zote hizo za kum-care kumbe kuna kijamaa anatoka nacho behind my back.
Hata sikuamini kama anaweza kunifanyia hivi. Nilijitahidi kumtimizia alichohitaji kadri ya uwezo wangu lakini kumbe ilikuwa kazi bure.
I'm still in a shock. Kila nikifikiria naona kama naota vile. Nimepoteza hata mapenzi na mtoto wangu.
Naomba ushauri wenu jinsi ya kumhudumia mwanangu ingawa binafsi upendo juu ya mwanangu kama vile umepoa.