Kidate Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kidate Arusha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yona F. Maro, Aug 7, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Aug 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamii Forums

  Mimi Leo Nitakuwa Arusha Lakini Huru Kuanzia Saa 10 Jioni Pamoja Na Kesho Napenda Kukutana Na Wanachama Haswa Wa Jukwaa La Mapenzi Kama Inawezekana Leo Na Kesho Kama Unapenda Nitumie Pm Au Andika Kwa Hapa Nitakutatufa Wewe Nipee No Yako Tu

  Ahsante
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Aug 8, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nipo Kibo Palace Hotel Napenda Kukutana Na Jamaaz Wa Jamii Forums Wa Arusha Ngalau Kwa Siku Hizi 2 Nitakazo Huku Huku Kisha Mwanza Na Mkoa Wa Mara Kote Huko Kama Kuna Wana Jamii Tafadhali Tuwasiliane

  Ahsante
   
 3. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Am a stones throw from Kibo Palace though am a lil scared about my privacy.
  Hujatumwa weye?
   
 4. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Shy acha usanii ajenda ni nini au unataka kutulipua??????
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Aug 8, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni maongezi tu kujuana and so on Kevo call me on 0786 806028 Mimi nipo Sakina sasa hivi
   
 6. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  .....Good nitakuwa Matongee Bar jirani na New Arusha Hotel jioni kuanzia saa 12.00 kupata samaki na ugali i hope unaweza kutia timu maeneo hayo upate na menu fulani iliyotulia...Nitakutafuta mkuu!!!
   
 7. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Poawaaaaaaa!I will try kukutafuta though I have a family gathering later!
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Aug 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kipanga Kevo Mbona Kimya Tena Waheshimiwa Mimi Bado Nipo Nipo Tu Sijaamua Kuamua Matanga Bado Sema Nimehama Pale Niko Huku Mjini Kilimotel
   
 9. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Shy Ndugu si nilikutumia sms nikakweleza.
   
 10. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndugu si nilikuambia nina commitments na wala hata hukujibi message yangu kama utakuwa AR on Tuesday?
   
 11. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  baada ya Tangazo hili, Kevo na wengine walihoji motive ya Shy kkuwataka wakutane? aliwajibu kufahamiana tu.

  Sasa ebu angalia haya Matangazo mawili tofauti katika majukwa mawili tofauti, yenye identity mbili tofauti, namba za simu mbili Tofauti, maeneo ya kukutana? (Sijaangalia)

  Ninachotaka kusema kama kweli Shy ni Yona Maro, basi kunaweza Taa nyekundu inawaka na kengere ya Hatari inagonga kichwani. Kwa nini?

  1.Yona wiki mbili zilizopita alitoa maelezo yenye utata kuwa amekamatwa, na tulipokuwa tuposerious kutaka kujua kulikoni hakutupa maelezo sahihi, ajenda ikafa gafla. Anawezekana sio mkweli, I just assume
  2. Kama kwelialikamatwa na kuachiwa baadaye bila kufunguliwa mashitaka, what does that mean? Labda aliachiwa in condition, kuwaexpose watu fulani, na labda mtu muhimu anahisiwa yupo Arusha na kilimanjaro. Sijui just assumption.
  3. Kama hakupewa condition basi kwa kusoma taarifa hiz wanaomfuatilia wanaweza kumfuatili huko Arusha na Kili na kuona anakutana na akina nani na wanzungumza nini? simu sio za kuziamini you can be taped he can even be wired.

  Hizi ni hisia zangu tu> lakini ningependa watu kutoa onyo I think this fellow should be underscrutiny for some times. aliwahi kutoa maelezo ya Utata kuhusian kukamatwa kwa wale vijana waliohusishwa na JF! Mnakumbuka? Kwa mnaoficha Identy zenu Be Careful! Sisi ambao Identity zetu zipo wazi hatuna shida ya kuonana naye, hata michango yetu ipo moderate, nyingi hazina maneno makali (jmushi unasemaje, FEM?)

  Tangazo la Yona Fares Maro fananisha na la Shy hapo juu
  Niko Arusha kwa siku kadhaa sasa napenda kukutana wanazuoni wa mkoa huu na kilimanjaro

  namba yangu ni 0716 494151 kwa sasa nipo kibo palace hotel lakini huwa nazunguka zunguka
  Karibu

  "If you won't take the personal responsibility to help raise the level of debate on PwaniForums, you do not have much of a case for expecting anyone else to do so on your behalf."

  pia Hili tangazo lilitolewa na Yona Maro kwenye Mtandao wa wanazuoni na Yona Maro na baadaye lilionekana hapa kwa jina la Shy.

  NIMEKUSANYA PROGRAMU ZA KUDOWNLOAD BURE UKIWA NA MUDA TU CLICK

  http://shy.phpbb24.com/forum/viewforum.php?f=16

  KARIBU

  "If you won't take the personal responsibility to help raise the level of debate on PwaniForums, you do not have much of a case for expecting anyone else to do so on your behalf."

  Tangazo lingine la Yona linalohusiana na watu wenye taaluma ya IT.

  Good morning,

  I am looking for good Cvs of people with Diploma in IT/IS with 3-5 years knowledge of web design and database maintenance. If you know of such persons, kindly have them email me their CVs.

  Thanks,

  Msingo Olivia Mkanzabi
  Human Capital Analyst
  Human Capital Consulting
  Deloitte Consulting Ltd.


  Nina wasi wasi kunaharufu ya watu kujiweka katika mazingira ya hatari mikutano kam hii :cry:
   
 12. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simo!

  Kweli na Hakika!
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Aug 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kevo Na Kipanga Nitarudi Baada Ya Wiki 2 Ila Nilikuwa Moshi Nimeonana Na Rafael Tumeongea Kidogo Asubuhi Ile Mambo Kadhaa Wa Kadhaa , Nimekutana Pia Na Dada Mmoja Anaitwa Key
   
 14. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #14
  Aug 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mbogela Kwani Wewe Wasi Wasi Wako Ni Nini Haswa ? Mimi Ni Yona Maro Kweli Sina Shida Yoyote Ndio Maana Nimeweka Namba Ya Simu Kwa Aliyekuwa Anataka Kuonana Anakuja Tunaonana And Things Go Kama Kawa
   
 15. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #15
  Aug 11, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani Yona F. Maro na Shy ni mtu mmoja, Shy ni a.k.a yake. ni mtu mzuri tu asiye na matatizo na mtu yoyote. watu wa Arusha mngeenda kuonana na kijana huyu. Kwa nini hamjiamini?
   
 16. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  I don't take things for Granted. Lakini kama hakuna Tatizo ni mwanzo Mzuri wa kuwa na network ya watu wanofahamiana na kuaminiana, lakini if any thing goes wrong, Then ambao dhamira zetu zilistuka tutakuwa hatujatenda haki kutowatahadharisha wengine.

  I wish you all the best in your trip. Nitakuandikia mail.
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Aug 15, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nakushauri Usiwe Unafuata Mkumbo Kama Mwafrika Wa Kike , Muulize Mwenzako Ameishia Wapi Kwa Kutunga Maneno Ya Uwongo
   
 18. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145

  Bahati mbaya sikupata muda wa kusoma/kuingia kwenye net kwa muda mrefu. Hii sentensi ulikuwa unaiilekeza kwa nani? kwangu? Bahati mbaya sana huwa sitishiki, nadhani nilishakutumia report yangu moja tu kati ya misukosuko niliyoipta kuhusiana na harakati.

  Bahati nzuri nakufahamu vizuri na unayemtumikia Shy, lakini hutaweza maana wimbi la mabadiriko ni kubwa sana. Jaribu kutafuta upande wa kusimama.
   
 19. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nani anatunga maneno ya uongo hapa? Ile stori yako ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini isyo na ushahidi ilishia wapi? naomba maelezo zaidi hapa ili tukuone hutungi maneno? na ile ya kumpa msichan wa kazi mimba nayo unasemaje? Hivi inakuwaje watu manatoka na ishu wala haipo kabisa? huwa nashindwa kuelewa
   
 20. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #20
  Aug 21, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  mbogela kama huna cha kuongea kuzungumza bora ukae kimya au nenda forum ya siasa ukafanye siasa hiyo itakusaidia unaposoma mada zangu na vitu ninavyoanzisha mimi uwe makini sana mfano hiyo ya mimba angalia chini utaona jina la mtu mwingine ila mimi ndio nimebandika sasa tatizo nini ?
   
Loading...