mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,323
- 56,062
Juzi niliamua kumzingua mmoja kati ya wapenzi wangu kwa kutumia namba mpya ambayo haijui tukawa tunachat mwisho wa siku nikamuomba nimtoe for lunch.
Akasema nimtumie nauli nikamtumia na kweli akaja akanikuta namsubiri eneo la tukio nikamwambia mbona umewahi sana akabaki kutoa macho nusura aanguke sasa kiumbe kama huyu unamfanyaje, wanawake mtatuua utaendaje kula Lunch na stranger ndiomaana mnauliwa.