Ana mimba ya Miezi Nane ya jamaa yake ambaye yupo Mwanza. Leo anatoka Outing na msela wake hapa Dodoma

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,458
Mwanamke ni mtu ambaye hana restrictions kabisa linapokuja suala la uhuru wake na ni mtu ambaye hufanya mambo yake bila remorse. Ukitaka kujua hili angalia mwanamke ambavyo humuacha mtu wake

Nirudi kwenye mada. Kama kichwa cha habari kinavyosema huu Ndo hivo. Niko na msela wangu hapa Dodoma mjini. Kuna demu katoka kuweka nae miadi. Demu ana mimba ya miezi nane ila wamekubaliana kwenda kugegedana na msela wake huyu wa zamani

Jamaa alikuwa anamtest tu ila ndo ivo demu na mimba yake kajaa. Ndo huyo ametoa hadi muda. Watakutana saa tisa jioni ya leo.

Ewe mwanamme jiongeze. Kuwa makini unapofanya commitments na hawa viumbe. Ni ujinga mwanamme anapodhani kuwa anapendwa kwa kiwango kilekile ambacho mwenzake anamoendea

In love there is a fixed amount of love, the more one takes (usually the man) the less is left for the other, usually the woman.
 
Uongo mtupu, Mwanamke mwenye mimba ya miezi 8 unamjua wewe? Sawa hauwajui Wanawake kibaolojia, lakini hata logic ya kawaida inakushinda? Kabakiza mwezi mmoja ajifungue, unaelewa hali aliyokuwa nayo Kibaolojia?
 
Bila sababu ya msingi ushawakwaza tayari wanaume wenye wanawake wenye ujauzito wanaoishi dodoma na wao wako nje ya dodoma
 
Wajawazito Wana hormones imbalances
Wengine nyege zinawazidia
Wengine wanakuwa kama vichaa
Hawajui wanataka nini . hawataki nini..

Asiye na akili ni huyo mwanaume
 
Mwanamke ni mtu ambaye hana restrictions kabisa linapokuja suala la uhuru wake na ni mtu ambaye hufanya mambo yake bila remorse. Ukitaka kujua hili angalia mwanamke ambavyo humuacha mtu wake

Nirudi kwenye mada. Kama kichwa cha habari kinavyosema huu Ndo hivo. Niko na msela wangu hapa Dodoma mjini. Kuna demu katoka kuweka nae miadi. Demu ana mimba ya miezi nane ila wamekubaliana kwenda kugegedana na msela wake huyu wa zamani

Jamaa alikuwa anamtest tu ila ndo ivo demu na mimba yake kajaa. Ndo huyo ametoa hadi muda. Watakutana saa tisa jioni ya leo.

Ewe mwanamme jiongeze. Kuwa makini unapofanya commitments na hawa viumbe. Ni ujinga mwanamme anapodhani kuwa anapendwa kwa kiwango kilekile ambacho mwenzake anamoendea

In love there is a fixed amount of love, the more one takes (usually the man) the less is left for the other, usually the woman.
Pale unapoamua kuwa mtu ambaye wewe sio mtu wa kwanza ,basi tambua wewe haujawahi kuwa 1st choice . kibaya zaidi ni pale unakuta mtu ana Maex zaidi ya wawili basi jua yupo na wewe kwa kuwa ndo option iliyojitokeza .
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom