Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kituo cha 10. Yesu anavuliwa nguo. Eee Yesu tunakuabudu tunakushukuru, kwakuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu. Askari wanamvua kwa nguvu nguo zake zilizogandamana na madonda...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Niliudhuria moja ya semina kuhusiana na kemikali za viwanda vya nguo na ngozi! moja ya mtoa mada ktoka ofisi ya Mkemia Mkuu alieleza faida na madhara yatokanao na matumizi mabaya ya Kemikali kwa...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
jukwa la wakubwa ni lipi na lipo pande zipi jf......nisipopata jibu la kueleweka ntaandamana ncji nzima l. Amri sio ombi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Namshukuru mdau aliyenipa ushauri huu kupitia pm na ameridhia kushare nanyi . Kitu cha kwanza unachopaswa kuzingatia ni kutambua na kukubali kuwa kuna vitu ambavyo huwezi kuvibadilisha na hivyo...
9 Reactions
88 Replies
18K Views
Nimesikia mengi sana libwata, dawa za kumfunga mpenzi je hili la kumrudisha mpnz hata km yupo mbali kuna ukweli?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwanza fahamu kuwa kama hujaona jambo au tukio fulani haimaanishi kuwa haliwezi kuwepo au kutokea Maisa yana safari ndefu sana Wakati mwingine ni fupi pia Inategemea tu ni kwa kipimo kipi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jumapili nyingine tena ni siku ya kuabudu kwetu sie wakristo. Hebu tupia hapa ulichofundishwa kanisani leo,au kitu chochote kilichojiri huko kanisani. Tuifanye JF sehemu ambayo hata neno...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman mi nataka kujua kati ya Dada anaetoa Mimba na Mwanaume anaepiga Puri(punyeto) nan muuaji?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
M
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kunakipindi mfalme sauli alikuwa ana tress wapambe wake wakamtafutia mwanamuziki (daudi) amliwaze. kwa hiyo muziki ni tiba ya tress toka zamani sana. mi nikiwa down napenda kusikiliza. Hold on...
0 Reactions
97 Replies
10K Views
I wanna grow old with you I wanna die lying in your arms I wanna grow old with you I wanna be looking in your eyes I wanna be there for you Sharing everything you do I wanna grow old...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Najua ziko sababu zinazosababisha wanandoa kuchepuka nje ya ndoa zao. Naomba ndugu zangu kunipa sababu muonazo ndicho chanzo cha michepuko.Pili nini namna maridhawa kama ipo ya kuondoa michepuko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nina rafiki yang ana demu wake kwa kipindi cha miaka minne sasa katika kipindi hicho chote jamaa hajawahi kumkiss demu wake kwasababu lips za binti huyo zimefanana na baba...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wadau wa jukwaa hili, kipindi cha nyuma kidogo tulishuhudia namna simu zilivyokuwa zinanasa wanamichepuo hasa kwa njia ya ujumbe mfupi, yaani SMS. Tofauti na sasa baada ya kuwepo mitandao...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Wazazi wengi hupinga watoto wao kuoa mapema ili wafaidike na mapato ya watoto yao zaidi wanasahau kua ni ngumu kwa mtoto wake kuwa peke yake hata kama hataki aoe zaidi mtoto huishia kulamba watoto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mapenzi ni tunu bora mno katika maisha ya mwanadam.Wanafasihi hudai kuwa mambo matatu makuu huongeza muda wa kuishi duniani/kurefusha maisha,mambo hayo ni mapenzi mema,kazi za kifasihi na mwisho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri 20 natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wathirika wakubwa wa social media ni wabidada! unajua nini leo nilipanda daladala nikakaa seat ya nyuma mbele yangu kuna mzee misiri ya Mh. wsr anachat na mrembo whatsup anamrushia verse na...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau Jamaa yangu kanitumia ujumbe 'kamanda Leo njia kuu iko matengenezoni nachepuka kidogo'
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna siku nilikuwa naangalia kipindi cha cops nikaona jamaa amekamatwa na polisi kipindi anapelekwa kwenye gari akagundua mkewe anahusika na kukamatwa kwake jamaa akamwambia nakupenda mke Wangu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…