Niliudhuria moja ya semina kuhusiana na kemikali za viwanda vya nguo na ngozi! moja ya mtoa mada ktoka ofisi ya Mkemia Mkuu alieleza faida na madhara yatokanao na matumizi mabaya ya Kemikali kwa afya za binadamu na mazingira! baada ya hayo alisisitiza kwamba inabidi tuwe wawazi! kama ambavyo tunahubiri matumizi ya Condom! kwamba watu wengi wanatafuna Kemikali wakati wa Mapenzi! kwani wanaiga utamaduni wa kigeni wa kulambana kama vile Ng'ombe anavyomlamba ndama wake! kuanzia juu hadi chini! unakuta mtu kapaka Lotion, madawa ya ngozi, sabuni za kemikali hatari, madawa ya fangasi nk. kwa kuwa ni kama watu wanakuwa kama wamepoteza fahamu kwa muda au kuwa wajinga kwa wakati huo, wanafanya mambo bila kujua kinachowaeza tokea! kama kupata madhara makubwa kama vile kansa, n.k kulingana na aina ya Kemikali na wingi wake! NILISIKIA KUISHIWA NGUVU! Kumbe tuna hatari nyingi mbele ya maisha yetu!