Lipi jema kuoa au kuendelea kula watoto ovyo

Lipi jema kuoa au kuendelea kula watoto ovyo

chung cho

Senior Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
191
Reaction score
42
Wazazi wengi hupinga watoto wao kuoa mapema ili wafaidike na mapato ya watoto yao zaidi wanasahau kua ni ngumu kwa mtoto wake kuwa peke yake hata kama hataki aoe zaidi mtoto huishia kulamba watoto bila idadi na kwa gharama kubwa. Ushauri na maoni yenu wadau juu ya hili nawakilisha hoja
 
Kila mtu na akili yake bana, afanye vile anavyoweza kufikiri yeye
 
Back
Top Bottom