Mapenzi ni tunu bora mno katika maisha ya mwanadam.Wanafasihi hudai kuwa mambo matatu makuu huongeza muda wa kuishi duniani/kurefusha maisha,mambo hayo ni mapenzi mema,kazi za kifasihi na mwisho lugha.Hivyo bac sayansi ya mazingira ni injini bora kabisa katika kubore mahusia ya kimapenzi.Mfano ni tofauti sana mazingira ya afrika na mabara mengine,hivyo basi hata mapenzi n lazima yawe tofauti.Sayansi ya mazingira huamini kua mazimgira yana badilika kulingana na mfumo wa maisha.Mapenzi nayo n lazima yafuate mabadiliko hayo la sivyo mahusiano yatakfa.Ushauri wang kwa walio kwenye mahusiano ya ndoa au mapenzi ya kawada inabidi kjua mfumo wa sayansi ya mazingira ili kboresha mahusiano.