Msaada please wa kujua Nan muuaji hapa?

Msaada please wa kujua Nan muuaji hapa?

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Jaman mi nataka kujua kati ya Dada anaetoa Mimba na Mwanaume anaepiga Puri(punyeto) nan muuaji?
 
Mdada kwani kiumbe huwa kimetungwa tiyar ila mwanaume kwa nyeto sioni uuaji kwani hamna muunganiko wa mbegu
 
Hili ni suala zito labda utupe muda tufanye upembuzi yakinifu na mpango mkakati wa kukusanya mabinti kadhaa na vijana ambapo tutahakikisha mabinti wamepata mimba na hao vijana wakifanya masturbation kwa kipindi linganifu kisha tuangalie nani atakuwa muuaji kati yao! Subiri Bunge la katiba limalize kazi ya kutunga katiba ya Chama Chetu!
 
You made my day
 
Kwahio kwa logic yako kila mwezi mwanamke akienda kwenye menstrual cycle anakuwa ameua kiumbe pia ?, au unamaanisha nini hasa ?
 
halafu tutayapigia kura ya siriwazi maoni yako
Hili ni suala zito
labda utupe muda tufanye upembuzi yakinifu na mpango mkakati wa
kukusanya mabinti kadhaa na vijana ambapo tutahakikisha mabinti wamepata
mimba na hao vijana wakifanya masturbation kwa kipindi linganifu kisha
tuangalie nani atakuwa muuaji kati yao! Subiri Bunge la katiba limalize
kazi ya kutunga katiba ya Chama Chetu!
 
Maamuzi magumu hivyo lazma tupige kura. Ila sasa tupige kura ili kujua kama tutapiga kura ya wazi ama ya siri!
Hili ni suala zito labda utupe muda tufanye upembuzi yakinifu na mpango mkakati wa kukusanya mabinti kadhaa na vijana ambapo tutahakikisha mabinti wamepata mimba na hao vijana wakifanya masturbation kwa kipindi linganifu kisha tuangalie nani atakuwa muuaji kati yao! Subiri Bunge la katiba limalize kazi ya kutunga katiba ya Chama Chetu!
 
halafu tutayapigia kura ya siriwazi maoni yako

crazy-laughing-horse.gif

Kwi kwi kwiiiiii umenifurahisha sana, nadhani hii kura ya siriwazi inatakiwa tuiwekee zengwe kama ipigwe kwa siri ama kwa uwazi
 
Maamuzi magumu hivyo lazma tupige kura. Ila sasa tupige kura ili kujua kama tutapiga kura ya wazi ama ya siri!

Sheria ndogo ya mauaji ya mwaka juzi inataja uuaji kama kitendo cha kuua kiumbe hai, ibara ya nane ya sheria hiyo ya mauaji kifungu kidogo cha tatu 'c' kinasema ili tendo liitwe la mauaji ni lazima jopo la wataalamu wajiridhishe bila kuacha shaka kwamba lilitokea, hivyo basi ni mjumbe asiyejua kifungu hiki kwa makusudi ama kwa bahati mbaya atakayeweza kuinuka hapa na kusema abortion ni mauaji ama haya mapenzi ya ya kujiridhisha mwenyewe ni mauaji pasi kuleta ushahidi usioacha shaka!
 
Muuaji ni mdada, aliyempa mimba na tabibu aliyekatisha uhai wa kiumbe.

Manii au shahawa sio kiumbe, ila amefanya dhambi nyingine machoni mwa Mungu, na adhabu zao wote ni jehanamu ya milele wasipotubu.
 
Kwahio kwa logic yako kila mwezi mwanamke akienda kwenye menstrual cycle anakuwa ameua kiumbe pia ?, au unamaanisha nini hasa ?

mhhhhh ama kweli kuna watu mnavichwa vigum sana na kama niwagum wakuelewa na wepesi wa kusahau basi ni hatari sana aisee.

muwe mnasoma hata mara mbili mbili basi wajameni mweeeee..

thread inasema mpiga punyeto mwanaume
na mtoa mimba mwanamke yupi ni muuaji???

haya ww unakuja kurupuuuu na mambo ya bleed kwa wadada vipi ? MKUU ww K nn na upo kwenye day zako??
 
Muuaji ni mdada, aliyempa mimba na tabibu aliyekatisha uhai wa kiumbe.

Manii au shahawa sio kiumbe, ila amefanya dhambi nyingine machoni mwa Mungu, na adhabu zao wote ni jehanamu ya milele wasipotubu.

Waoh, i want to know how Jehanam look like maana watu wengine mkishapata exposure kutwa kututisha tu ili tusijue mnavyovijua!
 
mhhhhh ama kweli kuna watu mnavichwa vigum sana na kama niwagum wakuelewa na wepesi wa kusahau basi ni hatari sana aisee.

muwe mnasoma hata mara mbili mbili basi wajameni mweeeee..

thread inasema mpiga punyeto mwanaume
na mtoa mimba mwanamke yupi ni muuaji???

haya ww unakuja kurupuuuu na mambo ya bleed kwa wadada vipi ? MKUU ww K nn na upo kwenye day zako??

Mkuu wewe ndio nadhani hujui unachoelezea hivi mpaka mwanamke anableed ni kipi kinachofanyika ? Kuna tofauti gani ya mbegu ya mwanamke kutoka baada ya kutokuwa fertilized na mbegu ya mwanamume kutoka ? hili swali halina logic yoyote ndio maana nikajibu nilivyojibu kama sperms za mwanaume zikitoka bila kufanya kazi yake ni kuua basi vilevile zile za mwanamke zinavyotoka bila kuwa fertilized nazo ni kuua. In short swali halina logic yoyote
 
We nadhan ujaelewa kupiga punyeto na mdada kutoa mimba sijazungumzia
Kublid mimi hapa
 
Back
Top Bottom