Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Salamu kwenu wanajamvi,
Nakumbuka tarehe 1 April mwaka 2011 nilipotengana na msichana niliempenda sababu ya hii sikukuu ya wajinga.
Story iko hivi wakati nasoma chuo mkoani Arusha niliwahi kuwa na mahusiano na msichana ambaye tulikutana pande za town kwenye mini supermarket flani ambapo tulisalimiana tukapata kufahamiana kwa kifu kisha nikamwachia namba yangu ya simu ili akipenda anitafute kisha nae alini beep ili na mimi niipate yake.
Baada ya siku ile tuliendelea kuwasiliana hatimaye kuna siku nilimuomba tukutane ili nimueleze kile nilichodhamiria kumueleza.Bila hiyana alikubali na hatimaye tukakutana na nikafanikiwa kumueleza lililopo moyoni mwangu.Aliomba nimpe muda ajifikirie kwanza kabla hajafanya maamuzi lakini mwishowe alikubali kuwa mwandani wangu.
Mapenzi yetu yalidumu kwa muda usiopungua miezi mitatu mpaka kuachana.Sababu iliyonifanya nimwache ni baada ya kuniambia kwamba tarehe moja atakuja ghetto ninapoishi ili tushinde wote siku nzima na ikumbukwe kwamba katika kipindi chote hicho sikufanikiwa kumgegeda hata mara moja.Siku ya siku ikafika nikamcheki asubuhi akanambia atakuja kuanzia saa tatu asubuhi.Chakushangaza kadri muda ulivyozidi kwenda sikuona dalili zozote za yeye kuja.Nikipiga simu hapokei na sms hajibu mpaka ilipofika saa tisa mchana akanitumia sms kwamba hakupanga kuja siku hiyo ila tu alitaka anichemshe sababu ilikuwa ni sikukuu ya wajinga.
Sasa hapo nikajiuliza inamana wajinga wote wakuwadanganya hajaona ila mimi tu ? Ndipo niliposhikwa na hasira na kuamua kumchana live kwamba yeye na mimi its over and i was very serious about.Binti aliniomba msamaha lakini kwaupande wangu sikukubali huo msamaha wake sababu alinipotezea muda na pesa kwa mazagazaga niliyomnunulia sababu ya surprise.
Kutokana na tukio hilo mpaka leo najitahidi sana kuikumbuka kila tarehe 1 ya mwezi April.