Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Namsikiliza dr mmoja kupitia radio free africa kipindi cha sayansi ya mimea na tiba kutoka the fathery sanitarium clinic(sp error???) anadai simu zina punguza nguvu za kiume kwa % kubwa na kama kama uko karibu na mnara wa simu basi unatakiwa ukae umbali wa km5 from huo mnara ndipo upige au kupokea simu.sasa mim ninapo kaa mnara uko mita 50 tu kama nguvu basi zitaniishia zote kwa mtindo huu....acheni kututishia nyie madaktari uchwara..