Nampenda nampenda

Nampenda nampenda

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Natumai wote mpo poa!!

Naomba kila mtu ataje jina la mtu anaempenda na kumkubali sana humu jukwaani na ukishatajwa basi jua wewe ndie shabiki na chaguo la aliekutaja nakuanzia hapo sio mbaya mkachati in private kufahamiana zaidi ikiwezekana kupeana mawasiliano kwa alietayari.
Vigezo na mashart kuzingatiwa:
Hairuhusiwi kutaja mara mbili jina ambalo limeshatajwa.
Naomba niwe wa kwanza kufunguka na kuwa muwazi
Pretta!! kama upo nipe big like mammy!!!
Hapo wengine mnaweza kuendelea kunguka

Yeah nakubali Mkuu!! we unaogopa kutajwaaaaa....hujiamini Mkuuuuu...
 
Ili iweje? Yani we ndio utufundishe start up ya kukoleza uhusiano? Mi naona ni ujinga tu marafiki wa kwenye fon book hata wengine sijawatafuta mwaka, hawa wanatosha. Sired yako kimeo
 
Obama amekuwa sole proprietor wa manhood kwa kisingizio cha haki za binadamu, Mugabe kamtunuku yeye amkubalie ili iwe mfano, Obama kanyeta. Ndo maana nikakuuliza what if....
 
Kwanini unalazimisha twende chemba? au kuna ajenda ya siri !
 
Ili iweje? Yani we ndio utufundishe start up ya kukoleza uhusiano? Mi naona ni ujinga tu marafiki wa kwenye fon book hata wengine sijawatafuta mwaka, hawa wanatosha. Sired yako kimeo

Ha ha anakufundisha muende pm
 
Chemba ndio mtu atafunguka zaidi!!
 
Kijana kama target yako ni Pretta c uende direct kuliko kuzunguka huku..
 
Natumai wote mpo poa!!

Naomba kila mtu ataje jina la mtu anaempenda na kumkubali sana humu jukwaani na ukishatajwa basi jua wewe ndie shabiki na chaguo la aliekutaja nakuanzia hapo sio mbaya mkachati in private kufahamiana zaidi ikiwezekana kupeana mawasiliano kwa alietayari.
Vigezo na mashart kuzingatiwa:
Hairuhusiwi kutaja mara mbili jina ambalo limeshatajwa.
Naomba niwe wa kwanza kufunguka na kuwa muwazi
Pretta!! kama upo nipe big like mammy!!!
Hapo wengine mnaweza kuendelea kunguka

Ha ha unataka Preta aje pm???
nimecheka sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom