Watelekezwa baa

Watelekezwa baa

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
601
Ladies and gentlemen. .....

Hahahhaha ..ngoja nianze kwa kucheka baadae ndio nione huruma.... ,kuna mashost zangu 2 bwana jana wameingia chaka.. katika harakati za kuanza weekend mashost zangu hawa wakata twende maeneo tuka refresh mind nikawachomolea kwa sababu zangu binafsi wakanimind wakaondoka zao.
Kufika baa na kuagiza moja moja huku wakipiga story wakashangaa kuletewa na zingine double wakamhuliza muhudumu zimetoka wapi?? wakaonyeshwa meza ya papaa aka buzi iliyoko pembeni , basi bwana huku wakicheka kasema tunywe kwani tumemuomba?
Punde c punde papaa kaamisha kiti kujoin na wadada .
Kosa sasa walilolifanya kuwapigia simu mashost zao wengine 2 kuja kunywa bia za bure ,buzi anashaanga meza inajaa tena wanaagiza vinywaji vya bei kali ,buzi akaomba ruhusa anakwenda toilet mara moja na nduki zakeeee kawaachia bonge la bili
Hahaha wananipigia simu ktk ya usiku niwatumie pesa la sivyo wataumbuka lol!!
Ndio tukome na vitu vya ofa la sivyo kuwa na cash ndani pulse yako
Weekend njema ...
 
Teh teh teh! huyo jamaa anaakili sana. Hiyo ndo kiboko ya mademu walafi na wapenda sifa. Mtu haumjui mnaanza kujiagizia vinywaji bila kujua mfukoni ana sh ngapi?!
 
Ndio wakome...yaani unapewa vya bure na ww unaita wengine wadowee loh....
 
Teh teh teh! huyo jamaa anaakili sana. Hiyo ndo kiboko ya mademu walafi na wapenda sifa. Mtu haumjui mnaanza kujiagizia vinywaji bila kujua mfukoni ana sh ngapi?!

Wamekoma hapa walipo wanajiuliza kukosa kuwatumia pesa sijuhi wangepataje aibu!!!??
 
Etu tunywe kwani tulimuomba
Hahahaha yamewakuta wapenda vya bure!
 
Kwahyo watakuwa wamelipia hadi vinywaji alivyokunywa huyo buzi. Huku uswahilini tunaita from hero to zero.
 
Wenyewe walitaka kumkomesha but wamekomeshwa wao

USICHEZEE OFA WW..

1382340_449124125197907_959492821_n.jpg
 
hivi makao makuu ya dar es salaam ni wapi vile?
 
Wameianza wikiendi vizuri - imekula kwao
 
Back
Top Bottom