Mdau kakutana na picha za wife mtandaoni!

Mdau kakutana na picha za wife mtandaoni!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Katika pitapita zangu kwenye blogs za hapa bongo nimekutana na kisa hiki.

Jamaa ni muumini mzuri wa ile blog.. sasa katika pitapita zake kakutana na picha za "utata" anazohisi ni za wife wake kabisa.
Kwa upole imebidi amuombe mwenye ile blog aziondeo maana anasema zinamkwaza.

Naomba nimnukuu..
".yaani kuhusu uhakika ninao kabisa mpaka sasa juu ya kwamba ndiye au la kwa ajili kama ingekuwa hiyo alama peke yake ningejua fine lakini mpaka tattoo ni coincedence? Mpaka nguo na shape yake kabisa? Maana vyote visingeendana labda kimoja tu. So far naomba unisaidie kuzitoa..kwanza maana kila nikiingia nashindwa kukwepa kuziangalia na nikiangalia huwa nasijikia vibaya sana........" mwisho wa kunukuu.

Hivi kweli mwanamke umeolewa kabisa... unaruhusuje kupigwa picha na mchepuko wako na picha zenyewe za utata!

Hii haikubaliki jamani hata kama tunachepuka this is too much.!!!

(Mods naomba msiuhamishe huu uzi kama mtaona inafaa)
 
hahaaa hii ni kama nilionaga kule kwa Nancy njemba ndio analalamika

kua zile pic ni za mkewe

hahahaha sure nimeona nisiweke jina kwa sababu siku hizi naambiwa hadi form two wamo humu. ila inauma sana kwa kweli
 
Weka picha au links kwani waweza kukuta ni mtu wetu wa karibu..., then tukashirikiana kumshawishi mwenye blogs kuziondoa, siunajua tena umoja ni nguvu!
 
Weka picha au links kwani waweza kukuta ni mtu wetu wa karibu..., then tukashirikiana kumshawishi mwenye blogs kuziondoa, siunajua tena umoja ni nguvu!

tayari hizo picha zimetolewa..tuendelee na mjadala!
 
Juzi juzi niliitwa kuamua kesi ya mtu na mkewe (married for about 2 Years), kuna mtu katundika picha kwenye fb ya mkewe huyo kijana aliyeniita kusuluhisha, moja ikionesha mkewe akiwa amekumbatiana kimahaba na huyo kijana aliyeziweka fb na nyingine ikionesha wako kwenye kiti cha "lovers nest" wakipembea. Na picha nikaoneshwa na kijana alizi-print kama ushahidi.

Kusema kweli mimi nilipoziona picha nikaona hizo ni picha za wapendanao, si bure.

Kumuuliza yule mwanamke akasema ni kweli picha zake na ni kweli wamepiga na huyo kijana hivi karibuniki lakini hana uhusiano nae wowote wa kimapenzi ila wali-pose tu kwa picha kwa kuwa ni marafiki tangu wadogo na mumewe anajuwa urafiki wao tangu zamani (kabla hajaolewa nae).

Wewe ungeamua vipi? kabla sijawaeleza niliamuwa vipi hilo saga.
 
Juzi juzi niliitwa kuamua kesi ya mtu na mkewe (married for about 2 Years), kuna mtu katundika picha kwenye fb ya mkewe huyo kijana aliyeniita kusuluhisha, moja ikionesha mkewe akiwa amekumbatiana kimahaba ns huyokijna aliyeziweka fb na nyingine ikionesha wako kwenye kiti cha "lovers nest" wakipembea. Na picha nikaoneshwa na kijana alizi-print kama ushahidi.

Dah km Mimi mwamuzi nitamuomba huyo mwanamke aheshimu ndoa yake. Hayo mambo ni ya kufanywa na watoto wadogo.
Lakini pia naamini wanawake ni smart sana..sasa mpaka afikie kufanya hivyo pengine kuna sababu....hata hivyo bado anatakiwa aheshimu ndoa yake.
 
watu hawajiheshimu na hawana mipaka hata kwa watu wasio wapenzi wao people need to change
 
Juzi juzi niliitwa kuamua kesi ya mtu na mkewe (married for about 2 Years), kuna mtu katundika picha kwenye fb ya mkewe huyo kijana aliyeniita kusuluhisha, moja ikionesha mkewe akiwa amekumbatiana kimahaba ns huyokijna aliyeziweka fb na nyingine ikionesha wako kwenye kiti cha "lovers nest" wakipembea. Na picha nikaoneshwa na kijana alizi-print kama ushahidi.

Kusema kweli mimi nilipoziona picha nikaona hizo ni picha za wapendanao, si bure.

Kumuuliza yule mwanamke akasema ni kweli picha zake na ni kweli wamepiga na huyo kijana hivi karibuniki lakini hana uhusiano nae wowote wa kimapenzi ila wali-pose tu kwa picha kwa kuwa ni marafiki tangu wadogo na mumewe anajuwa urafiki wao tangu zamani (kabla hajaolewa nae).

Wewe ungeamua vipi? kabla sijawaeleza niliamuwa vipi hilo saga.

wanaume wakihisi wanakuwa wengi ndoa lazima iingie migogoro. Mwanamke aliyeolewa anafanya nini na rafiki yake wa kiume wa zamani kama sio kukumbushiana. Mshauri mwanamke asipe tena picha na kuweka kwenye mitandao. Aende kimya kimya
 
Sawa hatukatai. Sasa wewe utakubali picha za wife wako ziendelee kuwepo mtandaoni eti Siri ya ndani
Mimi nilikuwa sijui ila sasa nimejua. Inauma lakini ndiyo hivyo imekuwa, lazima avumilie maana imeishakuwa. Anyoe au asuke!.
 
Back
Top Bottom