Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Gal: Hi sweet,,umeamka aje?? Boy: Aaaawwww,,am gyud shwyiraeh,,WBU?? Gal: wbu ni nini?? Boy; Loool,,dunderhead,,smh,,t 'mins 'Wat Bout You ',,daah!! Gal: oooh,,unajua vtu zingine naoneaga kwa...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari zenu wakubwa, Leo asubuhi dada yangu binamu amekuja home na talaka mkononi, ameachana na mume wake. Dada yangu amezaa na jamaa watoto watatu wa kwanza yuko kidato cha nne na wa mwisho...
1 Reactions
180 Replies
16K Views
Habari zenu Wana-Jf! Natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 24-26. Sifa: awe tiyari tuanzishe familia Mungu akipenda! Tuwasiliane kupitia PM
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Hi! Wewe ni binti mrembo na upo Dar? Basi fursa imekuangukia leo ya kupata kijana mtanashati kwa ajili ya sex partnership. Kwa wenye sifa zifuatazo ndio watapewa kipaumbele: 1. Umri uwe...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiona au kusoma post za wana JF mara natafuta mchumba mara natafuta sugar mamii mara natafuta msichana wa kuoa anaejitambua hivi uwa mnapata kabisa na mnafikia malengo ya kuoana nitoeni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF. Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu. Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara...
5 Reactions
79 Replies
16K Views
Katika kukuletea habari nzuri na mbaya zimhusuzo mkeo/mumeo/mpenzio,nani unamwamini? ndugu?rafiki?jirani? kwanini? Binafsi najiamini mwenyewe ili kumuacha mke/mpenzi wangu kwakuwa nakuwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua.... Binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Asubuhi kumekucha, kama kawaida unatakiwa kuwahi kibaruani ili kumudu kupata mkate wa kila siku. Lakini unajikuta ukiwa na lindi la mawazo kuhusu siku yako itakavyokuwa, kuna mawazo mengi...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
kuna wakati unakuta upo na mtu kwenye mahusiano ,ila unaona huyu mtu simtaki tena lakini yeye analazimisha hataki kukuacha,na wewe unataka kumuacha kwa amani bila kumuacha na makovu wal kinyogo...
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Baada ya mpenz niliempenda sana kunisaliti nilijikuta nimedevelop kitu ambacho kwa sasa naona sio kizuri though i used to enjoy it! Yaani, I lyk to hurt men, to break their hearts! I allow them to...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka bado anaguna utamu tu mpaka mimi nichoke. Nimekuwa nikiwa na tabia ya...
0 Reactions
107 Replies
11K Views
usiombe ukakutana na haya majaribu yaan very unbearable!!..hii ni kwa hisani ya muke ya muzungu!! "Nimeolewa huu ni mwaka wa pili sasa nashukuru Mungu mume wangu tunaelewana vizuri...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
katika kazi ngumu yangu huwa napenda kupata dk 10 za kupitia MMU kupumzisha akili, lakini nikija hapa hujikuta namaliza saa zima kutokana na mada zilivyotamu . Nisaidieni nifanyeje ili nisitumie...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa. 1. Wanavyoishi na ma house girl 2. Wanavyoishi na watoto wa kambo 3. Wanavyoishi na wakwe zao 4...
4 Reactions
217 Replies
21K Views
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?" NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA
0 Reactions
119 Replies
10K Views
Hivi ulishawahi kukaa uchi mbele ya kioo na ukajiangalia? I mean kioo ambacho unajiona mwili mzima ? Ushawahi kujiangalia mbele na nyuma ? Body morphology zetu zinatisha zinachekesha mno ...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Utawafahamu tu ni wakimya hawanywi pombe hawavuti sigara hawaendi club kinywaji chao kikuu soda. Ukiwaangalia machoni kama watu lakini maamaaa wee hawa watu ni moto chini kilevi chao kikuu...
2 Reactions
111 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…