Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa...... Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari Akikuona umepanga au una...
16 Reactions
255 Replies
23K Views
Nimeamua kuandika hivi baada ya kushindwa kuisaliti ndoa yangu Sijui mke wangu kanipa nini hata nikiwa peke yangu mbali nikitaka kumsaliti nashindwa kabisa kila picha yake ikiniijia kichwani naona...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au...
6 Reactions
117 Replies
12K Views
Wadau juzi nilikuwa igo lounge pale sinza mori. Nilichokiona ni kama kijiwe cha madada kujiuza? Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana? Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani. Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Hello wakuu, Kuna hili suala la baadhi ya mabinti kuwa karibu sana na baba zao ingawa na mama zao wapo, hivi ni kweli kwamba ni wameruka stage? Me sijui saikolojia naomba mnieleweshe kwa sababu...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Wanajamvi natumaini mpo salama, Nipo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa sasa ila siifurahii ndoa yangu. Na sababu kubwa ni x wa mwenzangu, yupo nao busy utadhani hajaoa kuna wakati nahisi alikosea...
5 Reactions
118 Replies
12K Views
Habar za jion na habri za kupungua kwa barid na mimi leo najiyokeza natafuta mwenza sifa zifuatazo 1) Awe amejaalliwa neema za alha(makalio makubwa) 2)Awe anajua mambo yetu yaleee 3)Pili asiwe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwenye Hammer ana kisimu cha kitochi, kwenye Daladala ana Sumsung Glaxy note III. I don't Understand the Logic.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni tabia mbaya na wengi mnaatarisha afya zenu wakati unapotaka kuesabu pesa unalamba kidole alafu ndio unaanzakuesabu. Kuna wengine wanatemea vidole mate kabisa yaani mate mpaka unayaona alafu eti...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimekuwa observing member siku nyingi sana nimeona leo nishare na wanajamii jambo moja. Jamii nyingi imekuwa ikitufundisha kuwa masturbation ni mbaya , naomba niweke baadhi ya maelezo ya kwanini...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hello wanajamvi naombeni kuuliza kupima hiv kunafanyika mara ngapi ili kuprove kabisa kuwa mtu ni mzima? Je kuna vipimo vya kuweza kupima mara moja tuu na kuprove kuwa mtu ni mzima? Naombeni...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Asalam alaykum wana jf nimejitokeza jamvini kutafuta mwenza alieserious umri.kuanzia 20- 45 awe.muislamu kabila lolote vizur kama atakuwa anaishi zanzibar contact 0773584154 or alikhamis151@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
habari wana mmu yan tokea nianze kitendo cha kukutana kimwili na mwanaume cjawahi kusikia raha kamili ya mapenzi nisaidieni tatizo no nini
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Ujue humu ndani ya jamiiforums hatujuani kwa sababu ya kutumia avatar na majina fake .Lakini cha uzuri na cha kufurahisha tunajuana vizuri kabisa kwa kusema na kupost MAWAZO YA SIYO FEKI .AMIN...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Awe na umri18-22, Mwembamba mweusi , ambaye baadaye twaweza kuwa wachumbaail.com[/email]
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…