Huyu msichana inasadikika anatoka na lecturer wa hapa chuo,amekuwa akionesha kunipenda.
So najiuliza kuna ubaya wowote nitakuwa nimefanya kutoka nae sababu na mimi nampenda sana.
Mapenzi kwanza yapasa tutambue kue ni afya kubwa mno na pia ni tiba ya maisha kiuchumi,kijinsia,kisaikolojia,kijamii na iata kitamaduni.Mapenzi yakifanywa kitalam basi huweza ongeza muda wa kuishi...
Habari ndugu zangu wapendwa,nadhan wote ni wazima wa afya.Ila kwa wale mliokuwa wagonywa,poleni mungu atawaponya.Kuna binti mmoja alikuwa anajulikana kwa jina la Joyce Mushi,ila kwa sasa ni...
Naombeni maombi yenu, mpenzi wangu nampenda sana lakini tumegombana na ni wiki ya pili saivi hatuna maelewano, nampigia simu hapokei, msg hajibu. Hapa nipo kazini nimepigia kwa simu ya ofisini...
Naomba kwa yeyote anayejua alipo au anayemfahamu au kama unausoma ujumbe huu plz tutafutane...... Ni mtu wa tabora kwa mara ya mwisho tuliachana ktk mji wa makambako alikuwa akijishughulisha na...
Habari wadau!!
Mnamo mwaka 2012 Nlikuja hapa nikiomba msaada wenu kuhusu kujua zaidi kuhusu tabia za wairaq au wambulu nlikuja na kichwa cha habari kisemacho:
kabila la "WAIRAQ" kutoka...
Habari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina...
Ni wakati mgumu umemkuta rfk angu na jirani yangu!
Ana mchumba wake aliyemtolea mahari na wanasubiri kufunga ndoa.
Mungu kawapa Neema ya ujauzito na katika hali isiyo ya kawaida binti alitoa...
Natafuta msichana mrembo awe mchumbana twende kwenye ndoa.
Sifa. Awe mrembo.
Rangi yeyote.
Asiwe mfupi sana.
Awe na elimu kuanzia form four mpaka chuo kikuu.
Awe mkristo kama ni Muislam...
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile
Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani...
Teh teh teeeeeeh. I wonder if there is anything worse than a woman who cannot handle her drink. Juzi kati hapa nimetoka zangu out kula ujana.
Basi nikasema ngoja nisogee zangu home manake mda...
Before & After Marriage Conversations.............
BEFORE MARRIAGE:
He: Yes. At last. It was so hard to wait.
She: Do you want me to leave?
He: NO! Don't even think about it.
She: Do...
utajiskiaje siku ya bday yako unatembelea kwenye mtandao wa kijamii kama facebook unakuta mwanamke
/mwanaume wako wa zaman amekutumia ujumbe 'HAPPY BIRTHDAY MY X.'
Habari zenu wadau?
Huwa napata shida baada ya kumsikia mtu akimuita mpenzi Wangu majina haya :- ishu yako, jamaa yako, bwana ako, mzigo wako, niaje niaje wako kiukweli nasikiaga kudhalilika...