Happy birthday my x.

Happy birthday my x.

Ms. Kadadaa jumapili

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
102
Reaction score
48
utajiskiaje siku ya bday yako unatembelea kwenye mtandao wa kijamii kama facebook unakuta mwanamke
/mwanaume wako wa zaman amekutumia ujumbe 'HAPPY BIRTHDAY MY X.'
 
Eti na hii ni thread...

aisee yule mtoto GARETH BALE wa Real Madrid balaa....yaani alitanguliza mpira akamzunguka beki wa barcelona nje ya uwanja na akawahi mpira na kufunga.....lazima alikuwa na motor miguuni!!!
 
Ulisisimka ukakumbuka alivyokuwa anakugegeda?
 
Mi Ex zangu huko wote nimewablock ili kulinda mahusiano yangu na wa sasa
 
aisee yule mtoto GARETH BALE wa Real Madrid balaa....yaani alitanguliza mpira akamzunguka beki wa barcelona nje ya uwanja na akawahi mpira na kufunga.....lazima alikuwa na motor miguuni!!!

wanamwita gareth bolt bhana yule beki kila akiiona jezi ya bale anazimia.
 
aisee yule mtoto GARETH BALE wa Real Madrid balaa....yaani alitanguliza mpira akamzunguka beki wa barcelona nje ya uwanja na akawahi mpira na kufunga.....lazima alikuwa na motor miguuni!!!

Bale ni noma asee zile mbio ni km chui....
 
2 States hindi movie online..watch n download..
click here..
2 States hindi movie online 2014 - Full Movie Online

Namjibu tu kiroho safi kwan nin.
hutakiwi kucomplicate
 
hivi neno MY si litakuwa linazidi kuhalalisha ownership kwa mwanaume?
 
aisee yule mtoto GARETH BALE wa Real Madrid balaa....yaani alitanguliza mpira akamzunguka beki wa barcelona nje ya uwanja na akawahi mpira na kufunga.....lazima alikuwa na motor miguuni!!!

kweli asee pesa zao hawajazitumia bure
 
aisee yule mtoto GARETH BALE wa Real Madrid balaa....yaani alitanguliza mpira akamzunguka beki wa barcelona nje ya uwanja na akawahi mpira na kufunga.....lazima alikuwa na motor miguuni!!!

mwanzo nilishangaa kusikia bale ndo mchezaji ghali duniani ila alichofanya kwa barca sintosahau maisha
 
Bale ni noma asee zile mbio ni km chui....
BALE hakuamini macho yake ndio kikombe kikubwa katika maisha yake, haijawahi tokea

Ile muvi ya goli aliloingiza BALE yale ndio magoli yake kipindi anachezea Spurs
 
Back
Top Bottom