Uko wapi Geofley Tagalala

Uko wapi Geofley Tagalala

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Naomba kwa yeyote anayejua alipo au anayemfahamu au kama unausoma ujumbe huu plz tutafutane...... Ni mtu wa tabora kwa mara ya mwisho tuliachana ktk mji wa makambako alikuwa akijishughulisha na ujenz wakat mm nikikuwa kambi ya jeshi makambako...... Kama unausoma ujumbe huu nipm kaka
 
mkuu kumbuka kuna vizazi na vifo.!

kwa hiyo usijipe asilimia 100 kuwa yuko hai,

who knows?
 
Back
Top Bottom