Elimu ya Mapenzi na Mahusiano pitia hapa.

Elimu ya Mapenzi na Mahusiano pitia hapa.

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Mapenzi kwanza yapasa tutambue kue ni afya kubwa mno na pia ni tiba ya maisha kiuchumi,kijinsia,kisaikolojia,kijamii na iata kitamaduni.Mapenzi yakifanywa kitalam basi huweza ongeza muda wa kuishi na watu huishi kwa fulaha mno.Mapenzi huwezi kuyatenga na kitu chochote iwe ni siasa,uchumi,utamaduni n.k.Hakna asiye penda mapenzi wala hakuna asiyependa.Basi heb tzingatie haya:

1 Mapenzi yafanyike kwa maliziano,

2 mapenzi yafanyike kwa kiasi kikubwa uck ama alfajiri epuka kufanya mapenzi mchana n hatari kiasi,

3 ijue itikadi na mtazamo wa mwenza wako kuhusu mahusiano,

4 muandae mwenza wako kabla ya kuanza tendo la ndo,

5 epuka kutokumfikisha kilele mwenza wako kwan n hatari kisaikolojia na afya pia.
 
Porojo at work!Uandishi wa kifesibuku/kidivision five!Utter ignorance
 
asenal wasiposhinda leo najinyonga! katiba mpya mizengwe... hata mpira! Asenal niokoe leo
 
Na.1 Na. 3 Ni vkwazo sana kwa weng wetu hasa wanamume.sababu Ni nying Na weng walishaZtupiaga hapa Jf
 
Back
Top Bottom