wajameni hivi ili neno MMU linamaanisha nn. mi nalionaga tu humu ndani...na marafiki zangu wengi wa humu ndani kama JAWILAT, excel etc huwa wanani PM niwape maana lkn cjui...sasa naombeni jibu watu wangu wa MMU humu ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.