Tusiitumie Easter kugegedana

Tusiitumie Easter kugegedana

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Hbr ya Asubuhi wana jf ktk jamvi hili la MMU...
Leo ni jumapili tulivu sana ikiwa na shamrashamra za kumbukizi za Yesu kristu kukishinda kifo takribani miaka 2000 iliyopita.
Shamrashamra za siku ya Leo huwa za aina yake kwa makundi ya rika tofauti ktk jamii zetu.
Kwa vijana wengi siku hii ni kama nafasi adhimu kwani hupewa fursa ya kwenda kutembelea maeneo tofauti tofauti mbali na nyumbani ilimradi tuu wafurahi
Wengi wa vijana ( teen age) hufurika nyumba za wageni KUGEGEDANA, jambo ambalo sio kumchukiza Mungu tuu bali huweza pelekea maambukizi mapya ya VVU, mimba zisizotarajiwa na hata kuharibu uhusiano mwema na ndugu, jamaa au marafiki.
Wito wangu kwa wenye tabia hizo ni kuwa wabadilike kuanzia pasaka hii na kuendeleza mema daima. Kuchepuka pia iwe mwisho.
Nawatakia pasaka njema wote wenye kuamini.
 

Attachments

  • 1397976735616.jpg
    1397976735616.jpg
    29.9 KB · Views: 167
  • 1397976753573.jpg
    1397976753573.jpg
    64.4 KB · Views: 159
kugegedana na msimu huu wa sikukuu ni kama Fani na Maudhui..havitengani
 
Dah upo sahihi lakini kuna kabinti kameshakula hela yangu sasa leo lazima kagegedwe bara'bara kukaacha itakua kosa la kihistoria em tusamehane tu mkuu jambo hili lazima litimizwe. Easter njema pia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dah upo sahihi lakini kuna kabinti kameshakula hela yangu sasa leo lazima kagegedwe bara'bara kukaacha itakua kosa la kihistoria em tusamehane tu mkuu jambo hili lazima litimizwe. Easter njema pia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Iyo pesa mmmmh.... kasipokuja jee? Aaaah, umepoteza vingapi bana? Sembuse ivo vijisenti? Fanya km umetoa msaada au sadaka kisha potezea
 
Kugegedana lazima biblia inasema musinyimane sasa Leo unapingana name biblia?anae taka kugegedwa ani. Pm nipo available nalinoa dusheshe he apa
 
Back
Top Bottom