Women Have Unlimited Wants!!

Women Have Unlimited Wants!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,889
Reaction score
29,694
Heri ya Pasaka wana-MMU!

Nataka kufahamu ni kitu gani ambacho mwanamke anakihitaji kwa mwanaume na mwanaume lazima amtimizie mwanamke kama sehemu ya majukumu yake!

Nimetafakari na kugundua kwamba wanawake mahitaji yao hayana mwisho kila wakati wanauhitaji,.

Wanaume wengi tunaishi na wanawake ndani ya nyumba kwa kuvumiliana tu lakini siyo kwamba wanawake tulionao wameridhika na maisha tunayoishi nao!!

Sasa tutawaridhisha vipi hawa wanawake?,..
 
Food, Shelter and Clothes.

heri ya pasaka wana MMU.

Karibuni tupate kichuri nyama choma na ugali wa musoma!
 
Heri ya Pasaka wana-MMU!

Nataka kufahamu ni kitu gani ambacho mwanamke anakihitaji kwa mwanaume na mwanaume lazima amtimizie mwanamke kama sehemu ya majukumu yake!

Nimetafakari na kugundua kwamba wanawake mahitaji yao hayana mwisho kila wakati wanauhitaji,.

Wanaume wengi tunaishi na wanawake ndani ya nyumba kwa kuvumiliana tu lakini siyo kwamba wanawake tulionao wameridhika na maisha tunayoishi nao!!

Sasa tutawaridhisha vipi hawa wanawake?,..

Huo ndo ukweli wenyewe na utabaki kua ukweli..wanawake kuwaridhisha ni kama zoezi la kutafuta ndege ya malaysia, kila siku zoezi linabadilika na kuja na changamoto mpya. Cha msingi do the basics nyingine acha wengine wakusaidie kama hutajali.
 
Back
Top Bottom