Ahlan wasah'lan wanajamvi,
Hongereni kwa starehe kwa wale mliobahatika kuwa mapumziko.
Na kwa wenzangu na mimi ambao hatuna "weekend" wala sikukuu basi tuendelee kuchapa kazi.
Leo wakati...
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume...
Habari zenu wana mmu natumai mmesherehekea sikukuu ya pasaka vizuri ni muda sasa sijawa active humu ndani nimewamiss miss chagga Heaven on Earth Eiyer mwekundu na wengineo
Habarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu...
Habari za asubuhi, mnamo tarehe 8 niliandika thread ya kutaka kusaidiwa ada ya mtihani. Wapo walionipa maneno makali yenye kuumiza na pia wapo walionishauri vyema na hata hivyo wapo pia walioahidi...
Nawasalimu!
Mrejesho kuhusu post yangu ya jana, ndg yangu amekubali yaishe, amenyoosha mikono juu kwa shem, taratibu za talaka zinaandaliwa na Jumamosi shem atapewa talaka yake!
Nashukuru kwa...
Wadauz mambo yenu jamani na huu mchakato wa kupata katiba mpya unavyosumbua akili zetu ..
Rafiki yangu anatatizo linalomyima raha na usikungizi hata kutamani kuikimbia ndoa yake..
yeye ni mtu...
Mie ni kijana wa miaka ishirini therathini sas, natafuta mwanamke mtu mzima tufanye maisha, ninaishi mwanza na nina elimu nzuri na pia kazi . yoyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kupitia namba...
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia...
Nategemea kutoka nje ya nchi, kama kuna mrembo yeyote aliefunga chuo anataka kula bata likizo ani PM. Awe na passport na mrembo, mweupe au maji ya kunde
Hili swali nalitupia zaidi kwa wanandoa na wale wasio na ndoa lakini wamekubaliana kuishi na kuanzisha familia
Sasa twende ..
mwanzoni mwa mahusiano raha ni nyingi kiasi kwamba unaweza hisi...
Habari za saa hii wana JF,
Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
Habarini
Leo ni siku maalum ya kukumbuka ambayo hupatikana
kwa nadra sana kwa mwanadamu ambaye amezaliwa
na mwanamke, siku ambayo Mungu umuandaa mtu
akiwa tumboni mwa mama yake na kuumumba.
na...
Hii ni ngumu sana katika jitihada za kumatch naye hasa kimawazo, na kimatendo saa zingine mpaka unajihisi labda anakusoma au anakuchora vile, unakuta vitu unavyofanya wewe yeye (msichana/mwanamke)...
Nukuu kutoka kwa anti Nasra Shangingi Mstaafu kama anavyojiita mwenyewe.
Nashukuru kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya...
Tukio hili lilinitokea hivi karibuni. Nakumbuka siku moja katikati ya mwaka jana tulikutanika pale Leo Tupo Hapa Pub. Tulikuwa wana JF kadhaa na ilikuwa ni mkutaniko wa kawaida tu kwa ajili ya...