1.usioe kwa 7bu umechoka kula kwa mama ntilie >>>mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama ntilie jifunze kupika.
2.usioe kwa 7bu umechoka kufua name kupika >>>mke co beki 3 kama umechoka kufua...
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa...
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu...
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!
Wapwazi na maguest members nina mdogo wangu mchunga kondoo alipata kifaa alipo kuwa katika harakati za kurudisha kondoo kundini huko Songea na wakaahidiana wataoana. Toka ampate yule binti ilipita...
Kakupa ujauzito! Unamwambia nyumban umefukuzwa kama kumpima msimamo wake unamwambia sina pa kukaa niende tu popote nikatafute pakukaa maana nyumbani hawataki hata kuniona! anakuambia ucjal mungu...
Habari za asubuhi, ni siku nne tu ndizo zilizobakia. Kiukweli inaniathiri kwa mawazo niliyonayo. Nimesoma kwa shida hapo awali na leo mwishoni nafikia kukata tamaa kwa kukosa kulipia mtihani...
Jana nilitumwa na bosi wangu kwenda kuchukuwa document katika kampuni moja hivi. Nilipofika sikumkuta secretary, niliambiwa ameenda lunch. Nikamkuta kijana mmoja ambaye ni bosi wake na ndiye...
Nauliza chakula vipi anasema alikuja mgeni akawakuta wanakula so akapewa hotport la baba mwenye nyumba. Sasa hata nguvu ya kurudi kazini sina na ujue asubuhi nimepiga ndefu.
Mahwelu...
Bongo siwawezi! Eti kuna aina 3 za michepuko.
1. Mchepuko wa Lami: huu ni ule ambao hauombi pesa, upo njema unajua designer zote, katulia hana mapepe, uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea...
Uko lindoni mvua inapiga mdogomdogo-mvua ya mahaba, kuna kibaridi kinapuliza na mamimo umemwacha peke yake home, chumba chenu kimoja kinapakana na chumba cha msela, anayejipenda mno na kupenda...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa...
Rais Kenyatta asaini Muswada wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 2014 punde huko Nairobi, sasa wanaume wako huru kuoa idadi ya wanawake kadri wawezavyo. Hii nimeipenda inatufaa sana hapa kwetu Tanzania...
Pindi muwapo katika mahusiano, nafahamu mnafanya kila kitu kwa sababu ya kuakikisha mnalinda penzi lenu kwa wapenzi wenu na pengine hata kuhatarisha hali za afya zenu
Wengi wenu inafikia kipindi...
Dereva bingwa wa mbio za magari nchini Sweden anayefahamika kwa kuendesha gari kwa kasi, alishindwa kumwahisha mkewe mjamzito hospitali na kufanya mtoto wao kuzaliwa ndani ya gari wakiwa njiani...