Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa nikiwa chuo nilimaliza bila mchumba. Niko kazin kwa mwaka sasa, lakin kila mschana anayenivutia nakuta anamtu tayari na wengine hutamani endapo tungefahamiana kabla... wanaoning'ang'ania hawanivutii Kabisa! Hadi nimeshawshka kutafta hum Jf nikutane na ambao hawajapata, nashangaa hawajitokez! TATIZO NI NNI!?