Kichwa cha habari kiliniwahisha hapa
Nilijua mambo ya kuchepuka
Mr Rocky wewe ni Muha kabisa weweKwa hiyo unataka nini sasa maana umetuambia unalala nyakanazi then ....
barabara ni vumbi tuu kuanzia Nyakanazi mpaka kasulu na ukitoka kasulu mpaka ukakutane na barabara ya kutoka Uvinza ndo utakumbana na lami mpaka Kigoma na kuanzia hapo sasa kutoka mpakani mwa Burundi na Tanzania ni vumbi tena mpaka ndani huko ya Burundi na kutoka Bujumbura wenyewe wanaita Buja mpaka Kongo ni lami
Wewe me au ke?mmmmh..we nae! .nielekeze mimi kama unaijua ya kuchepuka basi
Mr Rocky wewe ni Muha kabisa wewe