Hivi Inakuaje wanawake wengine wanakubali mume awe na girlfriend

Hivi Inakuaje wanawake wengine wanakubali mume awe na girlfriend

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Donald sterling mke wake yupo na Mumewe na hapo hapo Anatoka na girlfriend na Alsharpton anamke na girlfriend NUSU umri wake .Ni pesa uvivu au
 
Watu wanatumia fursa...kwan ww hujawahi kuwa na jamaa wawili?
 
Ndio nani hao? Hata kama tunawajua, define them. Sio kila mtu anaishi kwenye dunia yako. We vipi!
 
Hata enzi za zamani,sarah mke wa Ibrahim aliruhusu mumewe awe na mwanamke mwingine
 
Ukikaataa unaambiwa JIKATE afu kuacha li fortune walaaaa! Mnabanana hapo hapo mpaka kieleweke! MJINI MIPANGO,! Ukisusa wenzio wanakula tu!
 
Donald sterling mke wake yupo na Mumewe na hapo hapo Anatoka na girlfriend na Alsharpton anamke na girlfriend NUSU umri wake .Ni pesa uvivu au

open relationship.
 
Back
Top Bottom