Kuna msichana alikuwa ananipenda ila mimi simpendi,alitaka hata kunywa sumu kwa ajili yangu mama yake alivyoona hivo akamuamisha kabisa sehemu tuliyokuwa tunakaa na kumpeleka kwa baba yake Dsm...
Kufanikisha ndoto zake, kuwa na mke na nyumba yenye furaha, kuwa na uwezo wa kuwalisha na kufanikisha mahitaji ya mke wake na watoto wake. Pamoja na kumtosheleza mke wake maitaji ya kimwili na...
Mwalimu kapokea mashtaka toka kwa mzazi mmoja kuwa, binti yake hatulii nyumbani kwani huwa anazurura ovyo na ni malaya, amejaribu kumkanya lakini haoneshi kutulia.
Jana tu binti kalala kona na...
I am 42 nimekaa na mwanamke ambaye sasa ana miaka 40, kwa miaka 11. Sasa nimemwacha baada ya kutoelewana na hasa wasiwasi kuhusu mtoto! Alimhamisha binti huyo shule na kumwandikisha kwa ubini wa...
Habarini marafiki zangu
Leo ninawapa dawa WANAWAKE wenzangu mjengoni hapa mwenye macho, masikio ya kutenda na kutegekeleza afanye kwa raha zake na mwenye sikio la kufa basi sina lingine la...
Habari wana Jf
Jamani nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 15 wa marehemu dada yangu(Mwenyezi mungu amrehemu huko aliko)bahati mbaya mama yake alifariki kipindi cha uzazi kwa hiyo anajua...
Gharama ya kipimo cha DNA ni sh.laki 3. Lakini mwanamke amemwandikisha mtoto shule kwa jina la mtu wake wa zamani baada ya kukorofishana sana. Mtoto ana miaka 13 na siku zote nimekuwa na wasiwasi...
Abari wana jamvi? Itakumbukwa nilishawahi kuongelea hili ktk moja ya mada hapa jamvini. Kwa kweli tulio kwenye ndoa inabidi kutunza viapo vyetu ili kuishi kwa amani na usalama ktk ndoa...
WAtu wanadai eti ukiwa kwenye ndoa au mahusiano kwa ujumla, kuna kuvaliana baadhi ya mavazi, hebu tujadili kidogo maana wengine tujifunze.... karibuni wenye mahusiano mtupe uzoefu...
Mfano wa...
Nahitaji girl wakusaidiana naye kiushauri,mawazo,kufarijiana.awe mwanafunzi wa college au kamaliza form 4-6,chuo cert,diploma,or degree! ni hayo 2!
Nice friday to all!
My e mail...
Habari wanajf,naomba msaada kwa hili,yawezekana uelewa wangu mdogo,huwa najiuliza kuwa uwe mbali au karibu na mpenzi wako,ni mambo gani waweza kufanya akajua unampenda?
mimi ni msichana wa miaka 26, naishi arusha nilikua na mchuchumba wangu ambae tumedum nae kwa miaka 2 na kupanga mambo mengi ya kuoana wote tumepanga nyumba moja japo kila mmoja anakaa chumbani...
Heshima kwenu wanajamavi,poleni na mihangaiiko ya kujenga nchi sisi wengine tuko busy na kuibomoa. Moja kwa moja niende kwenye topic kuna trend inayoendelea hivi sasa kwa wanandoa unamkuta...
nafahamu kuna matatizo mengi sana ya ndoa sikuhizi kutokudumu, sababu ni nyingi sana, lakini kwa upande wangu naamini wanaume tumekuwa wazembe sana siku hizi tunashindwa kutimiza wajibu wetu...