Marafiki wa JF wa Tabora mpo?

Marafiki wa JF wa Tabora mpo?

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,342
Reaction score
10,688
jamani husninyo anataka kuja kuwatembelea kutoka mpwapwa mpaka tabora. kama unaishi kwenye huo mkoa naomba uniPM. senkyuu.
 
Karibu sana

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Wazee wa Katerero mpokeeni mgeni
 
Karibu sana...I wish ungekuja pasaka kabla engine hatujaondoka kurudi makazini,wanna tabora huwa tuna ka utaratibu Wa kurudi home siku za sikukuu.
Anyway utawakuta wenzetu wata kukaribisha,sisi ni wakarimu mno.
Unaweza ukashindwa kurudi huko utokako.
Usishangae kuzawadiwa,nyumba,mume au Mke pamoja na kijakazi
 
Duh, kumbe nawe ulikuwa Mboka easter? I wish tungetafutana.
Husninyo mwaya karibu sana, nitakuintroduce kwa mama Kau akupikie nsansa na wali na nyama ya kubanika.
 
Last edited by a moderator:

Husninyo mwaya karibu sana, nitakuintroduce kwa mama Kau akupikie dnsansa na wali na nyama ya kubanika.
Nilikuepo ibada ya mkesha Wa pasaka nilisali pale Moravian milumbani,nilikuwa na ubatizo Wa mwanangu
Hahahahahaha,nikuite Dadagu au kakangu kaunga
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana...I wish ungekuja pasaka kabla engine hatujaondoka kurudi makazini,wanna tabora huwa tuna ka utaratibu Wa kurudi home siku za sikukuu.
Anyway utawakuta wenzetu wata kukaribisha,sisi ni wakarimu mno.
Unaweza ukashindwa kurudi huko utokako.
Usishangae kuzawadiwa,nyumba,mume au Mke pamoja na kijakazi
ukarimu wenu mbona umepitiliza. loh! ahsante, utanikuta kwenye xmass kama utarudi tena.
 
Duh, kumbe nawe ulikuwa Mboka easter? I wish tungetafutana.
Husninyo mwaya karibu sana, nitakuintroduce kwa mama Kau akupikie nsansa na wali na nyama ya kubanika.

ahsante sist Kaunga. nikifika pande hizo ntakujulisha. mate yashantoka hapa:tonguez:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom