Kamwandikisha mtoto kwa ubini wa mwanaume mwingine

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
I am 42 nimekaa na mwanamke ambaye sasa ana miaka 40, kwa miaka 11. Sasa nimemwacha baada ya kutoelewana na hasa wasiwasi kuhusu mtoto! Alimhamisha binti huyo shule na kumwandikisha kwa ubini wa mwanaume wake wa zamani! Pamoja na yote bado nampenda sana na siku nilipoondoka alilia sana. Wadau nisaidieni nifanyeje?
 
kusoma hujui, hata picha huoni? KIFUPI KWA TAARIFA RASMI KAMA ULIVYOSEMA KUWA HUYO NI MWANAUME WAKE WA ZAMANI BASI HUYO SIO MWANAO, FANYA MAMBO YAKO TU. TULIZA KICHWA MATATIZO HUWAKUTA WATU NA WATU NDIO SISI, HIVYO JITAHIDI KUONA NI SEHEMU YA HISTORIA YAKO. MUNGU AKUSAIDIE UPATE MWINGINE AKUZALIE HATA MTOTO MMOJA KWA KUWA UMRI WAKO BADO UNADAI
 
Are you sure una miaka 42? Au ni typing error badala ya 24 ukaandika 42?
Just thinking critically...
 
kama umemlea huyo mtoto kuanzia alipozaliwa mwite mke wako akupe maelezo ya kina kwanino kambadilisha ubini una haki na unaweza kumburuza huyo mwanaume mwingine mahakamani
 
kama umemlea huyo mtoto kuanzia alipozaliwa mwite mke wako akupe maelezo ya kina kwanino kambadilisha ubini una haki na unaweza kumburuza huyo mwanaume mwingine mahakamani
Amburuze mwanaume mwingine kwa kosa gani??!!!
 
Yani miaka yote hiyo?Kweli we siorijali na ndo maana mke kampa mtoto mtu rijali.Miaka yote katoto ka 1 tu!!!(Mkendiye anayejua nani baba wa mtoto)
 
Pole, lakini hujaweka wazi mtoto wewe ndio biological father au ni huyo mwingine.
 
really???that old and you cant se the picture???you are the man of the familly regardless kama mmmeoana or not....get to know why kafanya hivyo...ni dharau kubwa kwa mtazamo wangu hata kama we si baba wa mtoto.....a father sio aluyekuzaa bali aliyekulea
 
usitarajie uniache na mtoto,af mtoto aendelee kushika mjina wako, hasa kama matumizi hutoi, anata mwingine....kwanini nisimpe mtoto wakati anajali mtoto kama wake wewe unaejiita baba mzazi uko kama deceased...

pole mkuu
 
Yani miaka yote hiyo?Kweli we siorijali na ndo maana mke kampa mtoto mtu rijali.Miaka yote katoto ka 1 tu!!!(Mkendiye anayejua nani baba wa mtoto)

wewe kweli umeamua kukufuru,unajua kuna watu wanatafuta hat mimba hawaipati,sembuse wao wana mmoja!shukuru sana Mungu kama unao watoto
 
Nina miaka 42 sio 24! Nimemlea huyo mtoto miaka 10 na siku zote nilikuwa na wasiwasi. Worse still sisi ni dini tofauti. Hatukuoana tumekaa tu miaka yote. Alishatoa mimba zangu.3 with my blessings! Najuja! Wajameni nifanyeje nimrudie? Namiss nahisi upweke. No body is pefect! Im really confused!
 
aisee mungu aniepushe na mtu wa dizain yako.sikuzote umekaa nae tu hata kandoa ka serikali!!?? u deserve more than that

be more n more confused..uselec man
 
Back
Top Bottom