Huyo mwanamke ni mke wako?
aseee ulitakiwa umuachie kata funua hapo teke moja kwao
hizo ni zaidi ya dharau....
Wewe unapenda kupigwa kata funua?
Ha ha ha ha....
mimi sipendi dharau
Huyo mwanamke ni mke wako?
aseee ulitakiwa umuachie kata funua hapo teke moja kwao
hizo ni zaidi ya dharau....
Ngoja kicha changu bado kina loading.....
Hahahah una asili ya wapi?mbona unapendekeza adhabu ya kipigo?.