Girl wa kuchart nae

Girl wa kuchart nae

kifumbiko

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
213
Reaction score
44
Nahitaji girl wakusaidiana naye kiushauri,mawazo,kufarijiana.awe mwanafunzi wa college au kamaliza form 4-6,chuo cert,diploma,or degree! ni hayo 2!

Nice friday to all!

My e mail adress,chiefmwalivale@gmail.com
 
Kwa kukusaidia kjn, neno "Chat" lenyewe umekosea umeandika "chart" mara kadhaa kuonyesha hujui ka ni kosa, badilisha kwanza basi la c hivo watakutafta ambao wao na wewe maandishi sawa
 
Kwa kukusaidia kjn, neno "Chat" lenyewe umekosea umeandika "chart" mara kadhaa kuonyesha hujui ka ni kosa, badilisha kwanza basi la c hivo watakutafta ambao wao na wewe maandishi sawa

powa bro! lakini wamenielewa japo nimekose.thnx kwakunirekebisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom