Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 819
- 908
Abari wana jamvi? Itakumbukwa nilishawahi kuongelea hili ktk moja ya mada hapa jamvini. Kwa kweli tulio kwenye ndoa inabidi kutunza viapo vyetu ili kuishi kwa amani na usalama ktk ndoa zetu.ikumbukwe kwa sasa ili ndilo lenye kuleta mizozo mingi kwenye ndoa zetu na ata kupelekea kuvunjika na kuacha familia zetu hasa wanetu kupata shida mbalimbali,ushauri wangu jioni hii ni kuwaomba tudumishe hili kwa ajili ya kuimalisha amani na kujenga familia zenye kumcha mungu na upendo hadi pale mungu anapoamua kuwatenganisha,nawatakia siku njema yenye mapendo ya kimungu na utii wa sheria zake& pia kudumisha maombi ktk famila zetu.mungu awabariki.