Kwanini usalit mapenzi ushamil sana

Kwanini usalit mapenzi ushamil sana

Mapenzi ya sasa ni Pesa.Mwenye pesa ananunua penzi atakavyo,hakuna usaliti.
 
Big result now(BRN) haya ndo matatizo ya serikali kutaka matokeo ya papo kwa papo kwenye vichwa vya watu kama wanaangua madafu
 
Watu wengi wanamapenzi ya kitaper

Sijui ulikuwa unakimbia wakati wa kuandika mada hii...sijui ulikuwa upo bar monde ilipoanza kuchanganya kichwani ukakumbuka kuna kitu cha kutupia humu ilihali ubongo ushazungukwa na monde. Dah! Sijapata jibu ulikuwa unaadika mada hii ktk mazingira yepi hasa.Kweli, naungana na mdau hapo juu,tukifanya utani tutakuja kufundishwa lugha ya Kiswahili na Wajapan badala ya sisi kuwafundisha wao.
 
huyu jamaa ndivyo alivyo ni heri kaandika sentesi moja kaeleweka kwa mbali lakini angetupa stori hapa aaargh ungepita tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom