TABATA
October 06, 2009 Siku ya Jumanne.
Background:
Nilikuwa nimemaliza zangu chuo MUCCoBS kozi ya BAF na kufanikiwa kupata GPA nzuri tu ya 4.2. Nilikuwa na matumaini na ndoto nyingi za...
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?
hii stail ya vijana wa kiume kusuka nywele au kutia dawa kama watoto wa kike inaleta kinyaa sana, mambo mengine kuiga hayafai siku ukinyatiwa usije ukashangaa
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal...
Siku kikieleweka mtaa mzima mtajua, mtarushwa roho mwanzo mwisho, akiamka saa nne ataenda sokoni akirudi kanunua samaki, nyama steki na maini nk atajipikisha vyote hivyo nje ya chumba chake tena...
Hi wana JF!
Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana...
Habari za jumapili wapendwa!
Najua hata kwenu wapo hawa wadada!
Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi...
Habari za saa hizi ndugu zangu,ni mara nyingi nmejitokeza hapa mtandaoni nkiomba npate mke mwema mtarajiwa through 0715 406010 but imeshindikana kumpata@naomba ushauri ndugu zangu ni njia ipi...
Habari za asubuhi wana MMU,
Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.
Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe...
Yo! analogia hapa...
Sex: Male
Age: 20+ yrs
Weight: 60+kgs
Height: 5.8 ft
Body size : Slim
Color: Black ( sio black kama mjaluo)
Nationality: Tanzanian
Religion: Love ( born christian)
Interest...
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia...
Wana MMU,
Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi, sasa cha ajabu ananilazimisha niwe namwamkia shikamoo wakati nimempita na kama miaka miwili hivi, nikiacha kumwambia shikamoo ananuna siku nzima na...
Good day my dear,How are you doing???,I hope fine.I am more than happy for your reply to my email.How was your day? Now i will like to explain more to you in details,due to my critical condition...
hii itakuwa jumapili kwa jiji la dsm mahali ni diomond jubilee na Arusha itakuwa jumanne hii tar 6 may 2014 wote mnakaribishwa
muhimu: fika na vyeti halisi vya ugonjwa na hati ya kusafiria
nawasilisha
Wanawake wa sasa hawajiamini kabisa kwenye ndoa na mahusiano yao kutwa kucha kwa waganga kutafuta madawa, yaani wanaume tumekula sana hayo mauchafu yao sasa sijui tatizo ni nini? au wanaume...
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?