Naumia sana nikimwangalia.
Kinacho nifanya niumie, wakati namtongoza alikuwa hataki kabisa, lkn nikamlazimisha mpaka akakubali. Tangu hapo amekuwa ni msumbufu sana, yani kwa siku anaweza kufika...
Ndugu zangu wapendwa,
Bado siku saba kamili kufikia kilele cha siku ya wamama wote duniani. Ingawa hapa Bongo ni jambo geni, siyo vibaya kukamatana nalo kwa vile ni jema, tena jema sana!
Kwa...
Jamani ushauri wenu unahitajika hapa plse, nina marafiki zangu wa kichaga, mmoja mchaga wa kibosho, mmoja wa marangu, wote ni warembo na nimekuwa nao bila wao kujijua, sasa very soon nataka...
Yawezekana ukaokota embe dodo chini ya muarubaini. Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo
Mwenye heshima: Sikuambii uwe kama Mama Theresa, lakini unatakiwa uwe na heshima kwa watu katika namna ya...
Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo
1.Niko kwenye period
2.ninaboy friend/mume/mchumba...
Wanaume wasio na ajira wako katika hatrari ya kuathirika zaidi kutokana na ugomvi
Ugomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa...
Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu.
Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha...
1. Mwanamke ambaye anajua
kuzungusha
mascara kwa uso akiweka
urembo lakini hajui
kuzungusha mwiko kwa
sufuria akitengeneza ugali ni
schupit.
2. Mwanamke ambaye anajua
kupaka eyeshadow kwa...
Shikamooni wakuu,
Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu,
Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu
Hii siyo mara moja kiukweli ni...
Wanawake ni kama ndege wakiwa juu ya tawi huimba vizuri sana, lakini ni hatari sana kuwa na urafiki nao!. Sababu ni kuwa wakiona tawi lingine jipya na zuri machoni mwao, huruka na kukuacha mpweke...
Wanaume shombe shombe ni wanaume mchanganyiko wa kiafrika na rangi nyingine inaweza kuwa ya kizungu, kiarabu au kichina n.k
Nisiwachoshe hizi ndio sifa za wanaume shombe shombe.
Wanajua kujali...
Sir Alexander Fleming akiwa katika tafiti zake
Mimi ni muumini wa nguvu za kimaumbile. Naamini kwamba kila kinachopandwa, hatimaye huvunwa kwa njia ile ile, kama leo hii mtu akitenda wema, ni...
Kumkubali mtu, inaweza kuelezwa ni kumpokea, kumheshimu, Kumkaribisha, Kumpa nafasi pengine sawa sawa na yako. Kumkubali rafiki au mwenza ni tendo linalotegemewa kuwa la hiari, sio la lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.