Nitamuachaje huyu?

Nitamuachaje huyu?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,840
Reaction score
38,930
Naumia sana nikimwangalia.
Kinacho nifanya niumie, wakati namtongoza alikuwa hataki kabisa, lkn nikamlazimisha mpaka akakubali. Tangu hapo amekuwa ni msumbufu sana, yani kwa siku anaweza kufika ninapo kaa hata mara nne.
Hali hii imekuwa ikinipa wakati mgumu sana, ananifanya nimchukie kwani wakti mwingine huwa nahitaji kuwa pekee yangu ili kufanya mambo yangu mengine, lkn bila kutgemea utakuta ameshafika.
Nilijaribu kumweleza kwamba awe anajipa mda kidogo wa kuja kwangu lkn habadiliki. Yuko tayari hata aanzishe safari kutoka nyumbani kwao ya kwenda kununua pipi dukani ili mradi apite kwangu, na hapa ninapo kaa wala sio njia ya dukani kwao lkn hulazimika azunguke lengo apite kwangu.
Huyu binti ni kwamba hanipi hata ule mda wa kummiss, hakuna!
Nataka kumwacha lkn kwa jinsi ninavyo muona ataumia sana, ukizingatia tuko majirani.
Sasa leo kafanya kitu ambacho inanilazimu kumwacha hata kama ataumia..ilikuwa mida ya saa tatu na nusu hivi usiku, wakti nmelala, nikasikia mtu anagonga kwa sauti ya chini sana kwenye dirisha la chumba ninacho lala, sikuitikia akarudia tena kwa mara ya pili. Nikasema ngoja ninyate nichunggulie nani huyu? Kabla sijachungulia akaniita, mm sikuitika na wala yeye hakurudia tena, baada ya kama dk 8 hivi, nikampigia simu uko wapi akanijibu yuko nyumbani amelala, lkn baaadae akashtuka, akaniambia niko kwako, nikamwita asogee dirishani nikamsema sana. Kilicho nikera usiku wote huu hata nyumbani watasema yuko wapi? Ukizingatia yeye ni mtoto wa kike?
Nataka kumwacha lkn nashindwa ntampa sababu gani ambayo atanielewa bila kuumia?
Asante..
 
Hivi wanafunzi wa chekechea na nyie mnaruhusiwa kujiunga hapa JF?
 
Kuna sababu? Mwambie aache utoto, upuuzi hutaki.

Hata mie ningemtimua tu
 
Ina maana kipindi unamtongoza ulikua unahitaji mapenzi kama ya msimu wa embe?
 
Kumbe ndo maana alikuwa anakukatalia, alijua utamzingua tuu
nakweli ndo unavyomfanyia sasa, unajiona kidume baada ya kumlala
Unamuona kama just piece of trash!
 
Asingekuja Ungelalamika!Tena Ungekuja Jf Kuomb Uxaur Kuwa Hakupend Mwambie Huyo Xetan Wako Anaeku2ma Tokaaaaa!
 
for a moment like this..... some people wait a lifetime...!!!
 
Unatembea na mtoto? Nyota yako ya segerea inang'ara.
Halafu itabidi upige kura ya kuamua kumuacha kama ulivyopiga kura ya Kujitoa Ukraine na kuhamia Urusi...lol!
 
Hahaha umenichekesha. Usingemuonjesha vitamu na wewe. Mambo ya kuchungulia dirishani huko uswazi mnakokaa kuna siku watamdhania mwizi wamuue, mpe hiyo sababu ya kumuacha.
 
uporo wa wali ndondo; Mkuu jina langu linatisha ila lako kiboko, linatia njaa sana!
 
Hivi nyie under 16 na wanafunzi wa sekondari humu mnatafuta nini .Itabidi Wana MMU itabidi tuendeshe operashen maalumu ya fukuza watoto MMU ili wasije wakatu ua kwa mada zao .Au Ikiwezekana Ianzishwe MMU ya watoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom