Wanawake bwana sio wa kuwaamini sana

Wanawake bwana sio wa kuwaamini sana

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Wanawake ni kama ndege wakiwa juu ya tawi huimba vizuri sana, lakini ni hatari sana kuwa na urafiki nao!. Sababu ni kuwa wakiona tawi lingine jipya na zuri machoni mwao, huruka na kukuacha mpweke. Kuwa mwangalifu wanapokufurahisha kwa maneno na ahadi zao. Usiendelee kupoteza mda wako kung'ang'ania mfupa uliomshinda fisi. Pengine hilo sio fungu lako, usiumie wala kulia kwani thamani ya machozi yako haifanani na thamani ya KANGA/KITENGE ujifutiayo machozi. Songa mbele na ujue kuwa atoae ni Mungu.
 
Kimsingi hawa ni mama zetu,dada zetu,wake zetu, twapaswa kushirikiana nao ktk kila hatua ya maisha yetu,
Kila mwanaume mwenye mafanikio ya kimaisha nyuma yake kuna mwanamke jasiri,anaejitambua aliejitahidi mwanamme akafika alipofika.
Hakuna wanachohitaji wanawake toka kwetu zaidi ya Upendo,Huruma,kujali na kubembelezwa.
 
Kwani wewe ulikuwa unawaanigi?? Pole kwa ufala uliokuwa nao mkuu.
 
Kila mwanaume mwenye mafanikio ya kimaisha nyuma yake kuna mwanamke jasiri,anaejitambua aliejitahidi mwanamme akafika alipofika.

Negative. I just don't buy that horseshit that behind every successful man there is a woman, great woman, or whatever the saying goes.

In some situations, maybe. But in all situations, hell no. So there goes the importance of context.

I consider myself successful and hardly any woman played a role in it.
 
Kimsingi hawa ni mama zetu,dada zetu,wake zetu, twapaswa kushirikiana nao ktk kila hatua ya maisha yetu,
Kila mwanaume mwenye mafanikio ya kimaisha nyuma yake kuna mwanamke jasiri,anaejitambua aliejitahidi mwanamme akafika alipofika.
Hakuna wanachohitaji wanawake toka kwetu zaidi ya Upendo,Huruma,kujali na kubembelezwa.

Si kweli hayo maneno tu
 
"very well said..."
 
Negative. I just don't buy that horseshit that behind every successful man there is a woman, great woman, or whatever the saying goes.

In some situations, maybe. But in all situations, hell no. So there goes the importance of context.

I consider myself successful and hardly any woman played a role in it.

Your girl plays a part
 
Oh maamah!
profilepic150098_1.gif
 
Negative. I just don't buy that horseshit that behind every successful man there is a woman, great woman, or whatever the saying goes.

In some situations, maybe. But in all situations, hell no. So there goes the importance of context.

I consider myself successful and hardly any woman played a role in it.

mhhh even mommy?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom