Kwa wadada na wakaka pita hapa

Kwa wadada na wakaka pita hapa

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,560
Reaction score
41,523
1. Mwanamke ambaye anajua
kuzungusha
mascara kwa uso akiweka
urembo lakini hajui
kuzungusha mwiko kwa
sufuria akitengeneza ugali ni
schupit.
2. Mwanamke ambaye anajua
kupaka eyeshadow kwa
macho lakini hajui
kupaka blueband kwa mkate ni
schupit.
3. Mwanamke ambaye
anaweza tembea kwa high
heels akibeba handbag kubwa
yenye imebeba spare wig,
spare tyre, umbrella, lipstick,
tissue paper, cutex, caltex, total
na oil libya bila kuanguka lakini
hawezi beba mtungi ya maji
kwa kichwa ni schupit.
4. Mwanamume ambaye
anavaa viatu ya kitenge, jacket
ya kitenge, carrot jeans ya
kitenge lakini bibi hana nguo
ni schupit.
5. Mwanamume ambaye
anashinda bar na hakuna
makaa kwa jiko wala gas kwa
gascooker nyumbani ni
schupit.


Vigezo na masharti vya kiswahili cha kenya kuzingatiwa
 
Mimi iko penda sana vina ya shairi yako hahaha schupit
 
Wewe ni schupit, kwani bibi yako alizaliwanga kukupikianga wewe sima?
 
Back
Top Bottom